Ratiba ya safari za ATCL kuelekea Chato Airport

Wewe hujui kitu unafikiri abiria lazima watoke Chato pekee huo uwanja unahundumia Geita nzima na maeneo yote ya jirani.
Huna akili kama mtu atatoka Dar ashukie chato badala ya Mwanza.. Chato ambako hakuna hata supermarket wala Taxi anaenda kutafuta nini huko mbuga za burigi
 
Wote waliotangaza kuwa Chato airport imegeuzwa ya kuanikia mahindi na dagaa na walelewa Ubelgiji wote waje washuhudie ratiba ya ATCL hapa chini.View attachment 1971883
Hii ratiba ni kila siki au ni leo kwasababu kuna shughuli ya kuzima mwenge leo. Tupe ratiba ya wiki ijauo nzima na ya wiki iliyopita nzima na abiria waliopanda na kishukia hapo.
 
Hii ratiba ni kila siki au ni leo kwasababu kuna shughuli ya kuzima mwenge leo. Tupe ratiba ya wiki ijauo nzima na ya wiki iliyopita nzima na abiria waliopanda na kishukia hapo.
Huna akili ewe mke wa Amsterdam
 
Atcl walikuwa wanatafuta buster ya mafuta watakayotumia kwenye route ya uzimaji mwenge,after that hawawezi kurudi huko
 
Wewe uko Tandale na hujawahi safiri na ndege tangu utoke tumboni mwa mama yako utajua biashara ya ndege wewe!!
2011 nilienda UK Mjin unaitwa Hereford nilioanda direct flight Dar to Hethow, British Airways !!!
Tulichelewa kuondoka dar kwa lisaa limoja niliona gharama BA walioipata kutu please!!! Nyie kima hii biashara kamwe hamtaiweza!! Ni suala LA muda tuuu MTA faili vibaya!! Kamati ya bunge uliisikia!? Hasara billion ngapi!? Nenda jando upate akili hilo kono LA sweta unafuga uchafu na kukosa akili mfuasi wa jiwe wewe!!
 
Back
Top Bottom