Ratiba ya mitihani Kidato cha Pili na cha Nne 2021

Mbelele007

Senior Member
Apr 6, 2017
140
225
Wanajamvi, Habarini za Leo!

Ninaomba wizara husika na baraza la mitihani la Taifa (BAMITA) AU NECTA watueleze kipi haswa kinachofanya wasitoe ratiba ya mitihani ya vidato hivyo mpaka muda huu mwezi wa nane huku tumezoea ratiba hutolewa mwezi wa nne tu leo imekuaje?

Tangu baraza lianzishwe mwaka huu wanasikitisha sana tena saana. Tunaomba watoe ratiba rasmi ili wazazi, wanafunzi na wadau wa elimu wajipange zaidi ili kuwawezesha hawa wanafunzi kufaulu mitihani yao ya kitaifa.

Nawasilisha kutoka HONGWA USHETU KAHAMA

Karibuni saaana tumepatwa na msiba mzito saana huku kwetu kwa kuondokewa na mbunge, baba yetu WAZIRI WA ULINZI NA JKT ELIUS KWANDIKWA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom