Ratiba ya mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa

Casuist

JF-Expert Member
Jul 23, 2014
1,179
2,940
Ifuatayo ni ratiba ya mgombea Urais kupitia CHADEMA, Edward Lowassa kuanzia tarehe 10 August 2015 siku ambayo ni ya kuchukua fomu mpaka tarehe 22 August 2015 siku ambayo kipenga cha kampeni kitapulizwa rasmi.

10 Agosti: Kuchukua fomu
12 Agosti: Mazishi ya Mzee Kisumo
14 Agosti: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Mbeya
15 Agosti: Arusha
16 Agosti: Mwanza
17 Agosti: Zanzibar
21 Agosti: Kurudisha form NEC.
22 Agosti: Kampeni kuanzia Dar es Salaam

 
Mkutano utafanyikia wapi maana sioni sehemu ya kuwa himili watu wote watakaohudhuria kwa hapo mjini, labda wapeleke Kisongo uwanja wa Magereza pale mzee wa Safina anapofanyia mikutano yake.
 
Mkutano utafanyikia wapi maana sioni sehemu ya kuwapokea hao wageni, Labda wapeleke Kisongo uwanja wa Magereza pale mzee wa Safina anapofanyia mikutano yake.

Nasikia itakuwa uwanja wa Tindigani kimandolu.
 
Lowasa, CHADEMA na UKAWA kuweni makini msije mkaingia katika mtego wa kufanya kampeni kabla ya muda. Mkidharau angalizo hili mtapigwa goli la mkono na CCM.
 
Mafuriko yanatokea wapi,nilifikili wapiga kura ndio wanao kujakumpokea kumbe mnataka kupokelewa,mnatokea mikoa ipi?
 
njoo bwana magufuri nae aje.maana kuja yeye bila yeye ni kutafuta kudharirishwa kwa bei rahisi kama kilichotokea dar
 
Angalizo tu! Angalieni msiweke hamasa kubwaaaa wazee wa sababu za kiintelijensia wakaingilia kati na kuharibu uhondo wote! Chezeni kwa step!
 
Angalizo tu! Angalieni msiweke hamasa kubwaaaa wazee wa sababu za kiintelijensia wakaingilia kati na kuharibu uhondo wote! Chezeni kwa step!

Kaduguda ndugu yangu,mambo yamepangwa yakapangika,
hakikuibwa Hata kijiko dsm,pia hata mbeya hakitaibwa chochote wachilia mbali sindano.
 
sasa huyu lowasa tulimpomkata tulijua tumemkomoa haa kumbe tumejikomoa,jamaa anachukua nchii kimchezomchezo
 
Lowasa, CHADEMA na UKAWA kuweni makini msije mkaingia katika mtego wa kufanya kampeni kabla ya muda. Mkidharau angalizo hili mtapigwa goli la mkono na CCM.

Magufuli alitambulishwa zanzibar na mwanza au nilisikia vibaya!!!?
 
Issue kuwa mwanachama zaidi ya miezi 3 mmeshapata majibu?Naona chadema wamezimia baada ya kukuta hicho kipengele
 
Back
Top Bottom