ratiba ya kukatika kwa umeme

Mary Glory

Senior Member
Mar 20, 2011
124
20
jamani hii ratiba ya kukatika kwa umeme mbona siielewi?manake umeme huku kwetu ulikatika asubuhi ukarudi saa moja usiku baada ya nusu saa ukakatika tena.mpaka sasa bado hatuna umeme siielewi kabisa ratiba hii.its too much jamani loh
 
Hebu ni nong'oneze kwenu wapi hivi? Ni pm
 
Back
Top Bottom