Mary Glory
Senior Member
- Mar 20, 2011
- 124
- 20
jamani hii ratiba ya kukatika kwa umeme mbona siielewi?manake umeme huku kwetu ulikatika asubuhi ukarudi saa moja usiku baada ya nusu saa ukakatika tena.mpaka sasa bado hatuna umeme siielewi kabisa ratiba hii.its too much jamani loh