Ratiba ya kuagwa mwili wa kijana Petro kesho Msewe

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,668
30,556
Yule kijana aliepigwa hadi kufariki alipopeleka taarifa za mwizi kuonekana pale Mbezi kituoni anatarajiwa kuagwa kesho kanisa la Roman Catholic mchana saa saba.

Misa itaanzia hapohapo nyumbani kwake na baadae kuelekea kanisa la Roman Msewe. Ukitokea Ubungo kwenda Kimara uliza kituo cha Msewe

Damu ya petro muuza maembe wetu kama mungu aishivyo aitalala itanena juu ya wauwaji wote ealioshiriki.

Bwana ametoa bwana ametwa jina lake lihimidiwe.

Amen

Kwa mawasiliano jinsi ya kufika cont 0653 038 523

RIP peterooo
 
Cc ITV
TBC
KBC
MILLARDAYO. TV
MICHUZITV
STARTV.....
 
YULE KIJANA ALIEPIGWA HADI KUFARIKI ALIPOPELEKA TAARIFA ZA MWIZI KUONEKANA PALE MBEZI KITUONI ANATARAJIWA KUAGWA KESHO KANISA LA ROMAN CATHOLIC MCHANA SAA SABA..

MISAA ITAANZIA HAPOHAPO NYUMBANI KWAKE NA BAADAE KUELEKEA KANISA LA ROMAN MSEWE. UKITOKEA UBUNGO KWENDA KMR ULIZA KITUO CHA MSEWE

DAMU YA PETRO MUUZA MAEMBE WETU KAMA MUNGU AISHIVYO AITALALA ITANENA JUU YA WAUWAJI WOTE EALIOSHIRIKI

BWANA AMETOA BWANA AMETWA JINA LAKE LIHIMIDIWE

AMEN

KWA MAWASILIANO JINSI YA KUFIKA CONT 0653 038 523

RIP PETEROOO
Sote tumetoka kwa Mungu, na kwake, (Mungu) tutarudi kapumzike salama Petro, na sisi tuko nyuma yako.
D U U ! Yote haya, na wote hawa ni waongo ? Tusikilize kwanza, Lakini moyo sasa unaanza kuishiwa nguvu. E Mungu wahurumie na waangazie nuru,wote waliofikwa na mateso, na/au vifo, kupitia mikono hii !
MUNGU IBARIKI TZ, NA UINUSURU NA MABALAA.
 
Tusipopaza sauti katika haya, wote tutateketea.
Kwa vitendo hivi wote hatuko salama...leo kwamwingine kesho kwako..
 
Tusipopaza sauti katika haya, wote tutateketea.
Kwa vitendo hivi wote hatuko salama...leo kwamwingine kesho kwako..

Amefanyiwaavituuvyahataree kabisaa duniani KWA MWANAUME
i MUNGUU ATOWAACHA WAHUSIKA
 
Rest in PEACE
PETRO
ULIKUJA KWA UDONGO UNARUDI KWA UDONGO
NAWAZA NI WANGAPI WANAPATA MATESO KAMAHAYA VITUONI WANAENDA KUFIA NYUMBANI NA FAMILIA ZINAKAA KIMYA TU.. HAKIKA DAMUYAKE NA IWAFWATE WOTEE WALIOHUSIKA NENDA KAKAETU UMEKUFA KWA MATESO MAKALI MWANAUME KUFANYIWAVILE MKONO WA MUNGU UKWACHAPE KILA ALIEHUSIKA
 

Attachments

  • IMG_20170210_214010_512.jpg
    IMG_20170210_214010_512.jpg
    42.5 KB · Views: 36
Nikijana alipigwa majuzikati kituonimbezi alipoenda kupeleka taarifaa yamwizi akaunganishwa NAe n mwizi.. Ukoo ukaenda kueleza ahusiki Kabisa akaendelea kupigwa nakufanyiwa mamboya ajabu mpakakifochake muhimbili majuzi
Dah! Inasikitisha sana.
 
Cheza NA kilakituu siouhaii wamtuu...
Inaumiza kijanawakati anapelekwa host Mkuu wakituo anaulizwa anakana kujua walakuwepo
Amefariki kija a muhimbili tenaa banda yakumtoaa tumbi walikmpeleka akafie huko... Anakiri kujua hilo tatizoo may Allah b with u

SHUKRANI KUBWA KWA IGP NA UNGOZI WA JUU SHUKRANI WA HAKI ZA BINADAMU NA ITV.... NAAMINI BAADA YAMAZIKO HAKI ITAFWATA NA WAHUSIKA WATAFIKISHWA KUNAKOTAKIWA AMA USIKU AMA MCHANA.. INASKITISHA SANA........
 
Back
Top Bottom