MC44
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 2,170
- 3,269
Kuwa mwepesi kuelewa sijaita mbwa kwa kutukanaNani mbwa? Kuwa na adabu basi, Lissu ni mheshimiwa siyo mbwa.
Kuwa mwepesi kuelewa sijaita mbwa kwa kutukanaNani mbwa? Kuwa na adabu basi, Lissu ni mheshimiwa siyo mbwa.
Huyo dada akiwa kwenye heat anakuwa na ubishi wa kijinga sanaWAKOLOSAI 3:17
Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kwa yeye.
Chopa tayari ipo kazini kitambo…...Alianzia Karatu nadhani kuibuka na ChopaJamani vipi kuhusukutumia chopper......maana ratiba iko tight kinyama ....au ndiyo basi tena baada ya Kibali kuzingua
Angekubaliwa chopper ingerahisisha kuwafikia wananchi na wapigakura hasa hizi dakika za lala salama.....
Hafu namkumbusha kima cha chini mshahara kiwe 700,000.....maisha magumu
MUULIZE MGONJWA WENU MEKO KWANINI HAJI HUKU KWETU MTWARA SONGEA NA IRINGAKwa nini Hakuhutubia Shinyanga mjini?
Lissu anamalizia vibaya. sehememu ambazo atakosekana kwenye masikio ya watu maana hizo sehemu zinawatu wachache afu haungwi mkono kabisa na hilo analijua.RATIBA YA KAMPENI YA MH #TUNDU LISU
KIPINDI HIKI CHA LALA SALAMA.
TAREHE 18.10.2020
1. HANANG
2. MBULU
3. KARATU
TAREHE 19.10.2020
1. SIMANJIRO
2. MONDULI
3. LONGIDO
4. ARUMERU
5. HAI
6. MOSHI MJINI
TAREHE 20.10.2020
1. MWANGA
2. LUSHOTO
TAREHE 21.10.2020
1. KOROGWE
2. MUHEZA
3. TANGA TOWN
TAREHE 22.10.2020
1. WETE
2. CHAKECHAKE
3. MKOA MAGHARIBI
4. PEMBA
TAREHE 23.10.2020
1. LINDI
2. NACHINGWEA
3. NEWALA
4. NANYUMBU
TAREHE 24.10.2020
1. TUNDURU
2. NYASA
3. SONGEA
TAREHE 25.10.20201
1. CHEMBA
2. SINGIDA
3. IKUNGI
TAREHE 26.10.2020
1. SAME
2. HANDENI
3. PANGANI
TAREHE 27.10.2020
DAR ES SALAAM STAND UP .
TAREHE 28.10. 2020
KURA YA NDIO KWA #TUNDU LISU MAPEMA SANA.
Share kila mtu aipate ratiba hii
Alphonce Shadrack Paul
Jamani vipi kuhusukutumia chopper......maana ratiba iko tight kinyama ....au ndiyo basi tena baada ya Kibali kuzingua
Angekubaliwa chopper ingerahisisha kuwafikia wananchi na wapigakura hasa hizi dakika za lala salama.....
Hafu namkumbusha kima cha chini mshahara kiwe 700,000.....maisha magumu
Mgonjwa wenu vipi nae ratiba yake... mwambie NTWALA NEWALA NACHINGWEA RUANGA MASASI SONGEA NANTUMBO mbona hajiiiiiiiii??? tunansubili ae timpe mipasho yake.Lissu anamalizia vibaya. sehememu ambazo atakosekana kwenye masikio ya watu maana hizo sehemu zinawatu wachache afu haungwi mkono kabisa na hilo analijua.
Naona JPM akishinda tena kwa kishindo. Alikotoka sasa CCM wanasafisha makapi hadi wana CHADEMA wanajiunga na CCM.
Lissu anakosea kutukana tu bila kuwaeleza ni vipi atatatua changamoto walizonazo.
Lissu anamalizia vibaya. sehememu ambazo atakosekana kwenye masikio ya watu maana hizo sehemu zinawatu wachache afu haungwi mkono kabisa na hilo analijua.
Naona JPM akishinda tena kwa kishindo. Alikotoka sasa CCM wanasafisha makapi hadi wana CHADEMA wanajiunga na CCM.
Lissu anakosea kutukana tu bila kuwaeleza ni vipi atatatua changamoto walizonazo.
Sasa priscus atawaambiaje ccm hali mbaya alionayo,mana mwaka huu kilimanjaro majimbo yote cdm wanachukua bado arusha na manyara
Niggah langu umetisha asee kwa kwa hii plan yako we gonna take down the street mkali..saluteUshauri wangu chadema siku ya kufunga kampeni Dar es salaam, ikiwezekana fanyieni jangwani, pia wilaya zote za dar ziwepo hapo, pia mkutano au hotuba ya mh.lissu iandikwe rasmi, pia apewe muda wa kutosha kuhutubia kama masaa matatu hivi, pia ikiwezekana irushwe live na radio na TV, bila kusahau mitandao ya kijamii.Ombeni TV moja au mbili irushe mkutano huo, hoja zote zilizotolewa na jpm akiwa dar zijibiwe ipasavyo.Siku hyo mh.lissu ashauliwe kushusha jazba atulie hasa.pia hotuba hiyo ionyeshe mahali tulikotoka,tulipo, tunakoelekea na tulipokwama na namna ya kutoka iwapo chadema ikichaguliwa.pia wabunge wa dar wanadiwe ipasavyo kwa kuonyesha kwa nn wao wachaguliwe na sio wa ccm.Pia nashauri wafuatao wawepo, ponda, prof.baregu,sheikh Katimba,mwamakula, ikiwezekana na askofu bagonza waalikwe.Pia wajitaidi mkutano uishe saa kumi na mbili jioni bila kuzidisha muda
RATIBA YA KAMPENI YA MH #TUNDU LISU
KIPINDI HIKI CHA LALA SALAMA.
TAREHE 18.10.2020
1. HANANG
2. MBULU
3. KARATU
TAREHE 19.10.2020
1. SIMANJIRO
2. MONDULI
3. LONGIDO
4. ARUMERU
5. HAI
6. MOSHI MJINI
TAREHE 20.10.2020
1. MWANGA
2. LUSHOTO
TAREHE 21.10.2020
1. KOROGWE
2. MUHEZA
3. TANGA TOWN
TAREHE 22.10.2020
1. WETE
2. CHAKECHAKE
3. MKOA MAGHARIBI
4. PEMBA
TAREHE 23.10.2020
1. LINDI
2. NACHINGWEA
3. NEWALA
4. NANYUMBU
TAREHE 24.10.2020
1. TUNDURU
2. NYASA
3. SONGEA
TAREHE 25.10.20201
1. CHEMBA
2. SINGIDA
3. IKUNGI
TAREHE 26.10.2020
1. SAME
2. HANDENI
3. PANGANI
TAREHE 27.10.2020
DAR ES SALAAM STAND UP .
TAREHE 28.10. 2020
KURA YA NDIO KWA #TUNDU LISU MAPEMA SANA.
Share kila mtu aipate ratiba hii
Alphonce Shadrack Paul
mkali unabofonga kutokea socket gani maana hiyo shudu unayobnga haikogo arfu..Yani chuga ni kilililiii mwanzo mwisho pipo power siyo tu sinoni,sakina,olololoo,kijengee,sekei,sakina,ngalimi yani kila mahali kimewaka chaliii wanguArusha itoe kwenye hayo mategemeo,
Arusha upinzani umepotea kabisa na ccm wameutumia huo mwanya
mkali unabofonga kutokea socket gani maana hiyo shudu unayobnga haikogo arfu..Yani chuga ni kilililiii mwanzo mwisho pipo power siyo tu sinoni,sakina,olololoo,kijengee,sekei,sakina,ngalimi yani kila mahali kimewaka chaliii wangu
#HATUAMBIWAGI
Mwenyekiti wako anajulikana.Mwenyekiti wetu ameharibu kula ruzuku na michango,mgombea wetu ilipaswa akodishe chopa
Labda arusha ya chatoArusha itoe kwenye hayo mategemeo,
Arusha upinzani umepotea kabisa na ccm wameutumia huo mwanya
vipi ntwala newala ruanga pale alipofukizwa MOSHI MZITOOO akaingia mitini mbona hakanyagi tena??Arusha itoe kwenye hayo mategemeo,
Arusha upinzani umepotea kabisa na ccm wameutumia huo mwanya