Ratiba ya EPL kwa Msimu wa 2015-16 imetoka leo

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,783
66,961
Ratiba mpya ya Epl kwa msimu ujao imetoka leo Jumatano.

Mabingwa watetezi chelsea wataanza na Swansea.
Man Utd ataanza na Spurs pale Ot
West Brom Vs Man City
Arsenal Vs West Ham

Nafanya mpango niiweke ratiba yote hapa jukwaani.

Ntuzu everlenk Belo herrera Salamander
 
Last edited by a moderator:
mkuu nimeiona, japokua yetu kama mwanzoni ningumu flani hvi, ila nimependa kile kipindi cha baridi msimu wa x mass ipo fair
 
Inshalah ligi hii timu langu man u litazinduka na kutwaa kombe....!
 
FACT: manutd ndio timu pekee toka england iliyofungwa mechi yake ya ufunguzi lakn ikatwaa ubingwa kila timu inayofungwa mechi ya ufunguzi huwa haitwai ubingwa
 
Last edited by a moderator:
United mechi za kwanza ni mteremko tukiwa na squad nzuri...
Kumbuka kuna champions league...
Kabla haijaanza lazima tuhakikishe kuwa kwenye ligi tunafanya vyema...
 
Nimeiona aisee ni nzuri sana. Kama kawaida EPL kila weekend lazima watu wa enjoy kwa big match
 
FACT: manutd ndio timu pekee toka england iliyofungwa mechi yake ya ufunguzi lakn ikatwaa ubingwa kila timu inayofungwa mechi ya ufunguzi huwa haitwai ubingwa

Tena mara mbili mkuu, ya kwanza na Aston Villa 95 wakatuilpiga kwao 3-1 lakn tukabeba ndoo.

ya pili na Everton msimu wa mwisho wa Fergie, Fellaini alituua kwa header
 
Last edited by a moderator:
United mechi za kwanza ni mteremko tukiwa na squad nzuri...
Kumbuka kuna champions league...
Kabla haijaanza lazima tuhakikishe kuwa kwenye ligi tunafanya vyema...

Tukifanya usajili wa nguvu, hapo itakuwa kama kitonga.
 
Yaani Liverpool uso kwa uso na Stoke City..! Na kwa usajili unaendelea wa Brendan ni msimu mwingine wa maumivu lol..! Itabidi msimu huu niwe mpole tu..
 
Yaani Liverpool uso kwa uso na Stoke City..! Na kwa usajili unaendelea wa Brendan ni msimu mwingine wa maumivu lol..! Itabidi msimu huu niwe mpole tu..

game zenu za away ni ngumu balaa, kuna stoke, arsenal, man u na city
 
Ratiba ya wiki ya ufunguzi hii hapa...mtu aikuze basi
 
Attachments

  • 1434539453765.jpg
    1434539453765.jpg
    64.4 KB · Views: 82
Back
Top Bottom