Ratiba Maadhimisho siku ya Sheria yaondoa nafasi ya Fatma Karume kuhutubia

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,975
20,614
Kumekucha,shangazi kaenguliwa,ni mara ya kwanza tangu kupata uhuru wa Tanganyika Mahakama kuitenga TLS
IMG-20190205-WA0116.jpg
 
Mhhh hapa naona chui kaamua kujivua ngozi ya kondoo bila kupanda
Lakini hii inaonesha mahakama sio huru juu ya serikali

mwanza
 
Wengi tutasikitika kama shangazi wa taifa ambaye ni Rais wa TLS hatakuwepo ktk shughuli hiyo muhimu ya Siku ya Sheria. Maana hata Jaji Mkuu Mstaafu Bw. Othman Chande pia anatambua umuhimu wa chama cha TLS na mawakili ktk wiki ya Kuelekea Siku ya Sheria kama alivyonukuliwa hapa chini :

2 Feb 2019
Jaji Mkuu Mstaafu Ameongea Kuelekea Wiki ya Sheria ya Mahakama Kuelekea katika wiki ya Sheria ya Mahakama ambapo kilele chake kitakuwa Februari 06, Jaji Mkuu Mstaafu Othman Chande, amesema wiki hiyo itakuwa ni wiki ya kuelimishana kuhusu sheria za kimahakama na namna zinavyofanya kazi katika utendaji haki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom