RATIBA CAF: Kuiihakikishia Yanga SC kutinga hatua ya makundi Klabu Bingwa

Walifika na kushinda mechi 2 nyumbani na kutoka sare mechi 1.Hawakuwa wa mwisho kwenye kundi lao.Ukiwa hujui lini basi umeanza ushabiki wa migongo wazi hivi karibuni.
 
H
Walifika na kushinda mechi 2 nyumbani na kutoka sare mechi 1.Hawakuwa wa mwisho kwenye kundi lao.Ukiwa hujui lini basi umeanza ushabiki wa migongo wazi hivi karibuni.
halafu wakaenda nusu fainali aisee ngarna punguza Mahaba,
 
Hawakufika nusu fainali lakini waliepuka aibu ya kuwa wa mwisho na kufungwa nyumbani kama mlivyofanya migongo wazi.
 
Hawakufika nusu fainali lakini waliepuka aibu ya kuwa wa mwisho na kufungwa nyumbani kama mlivyofanya migongo wazi.
Mara ya mwisho walishiriki lini na walitolewana nani maana sie wengine washamba humu tujuze
 
Naona umeanza kupenda Yanga 2014.Libolo imekutana lini na Simba kwenye makundi?Au lugha mgogoro nini?Huwezi ku search kwenye google?
 
Mmeshachanga pesa za mishahara?Jamaa akiwa hayupo hali inakuwa ngumu. Wameanza kudai kwanini mchezaji bomu kama Chirwa alipwe milioni 10.
 
Umeanza kupenda mpira lini?Tuanzie hapo?Isije ukawa na miaka 10 hivyo ikawa vigumu kukumbuka.
 
Kwani hao waliopangiwa si wanakwenda kushiriki na sio kushindana. Timu inashiriki na kuwa ya mwisho kwenye kundi ina faida gani kushiriki?
 
Halafu ikawaje timu ilikwenda Songea au?Mgomo unaousema ulikuwa wa mazoezi?Iligoma timu nzima?
 
Back
Top Bottom