Rastafarians ndio diaspora pekee wanaomwakilisha Mwafrika popote walipo

Marcus Garvey sindie alie sema if all black will back into Africa I will be last of them yani alikuwa hapendi kurudi Darkland kwanini atukuzwe?
Mkuu haumjui Marcus Gavey, alitengeneza meli kubwa ambayo alikuwa tayari kuwabeba watu weusi back to Africa. Nyabhing. Jah bless I and I.
 
Back
Top Bottom