Rastafari sio Dini, ni harakati za kufikirika za kumhami mtu mweusi dhidi ya ukoloni na utumwa

The only

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Messages
4,182
Points
2,000
The only

The only

JF-Expert Member
Joined May 19, 2011
4,182 2,000
Rastafari ni dini iliyoanzishwa huko Jamaica miaka ya 1930's ya kutaka kumkomboa muafrica kifikra na kimwili dhidi ya maadui wa muafrica wakuu kipindi hicho yaani ukoloni na utumwa ,vilivyoacha maumivu makubwa ya jamii za waafrica ,zifuatazo ni inkishafi(points) muhimu juu yao.

a)Wanaye mfuata Haile Selassie alikuwa mkristo na alikufa akiwa anaamini katika hilo ,yaani tumaini lake ni kristo,katika mahojiano mwaka 1967 kituo cha CBC host Bill McNeil Selassie said, “I have heard of that idea. I also met certain Rastafarians. I told them clearly that I am a man, that I am mortal and that they should never make a mistake in assuming or pretending that a human being is emanated from a deity.”

Tafsiri isiyo rasmi ''Nimesikia wazo hilo (yakuwa yeye ndo kristo) ,na pia nimekutana na marastafari (akimaanisha yeye sio) nanimewaeleza ukweli kwamba mimi ni mtu wa kawaida ,na wasikosee kudhani natokana na ujumbe toka kwa mungu yeyote(incarnation)
b) Waisrael hawakuwa weusi kama nyerere ,walikuwa wako kama wahindi weusi,hivyo kusema ukweli kuwa yesu hakuwa mzungu hilo halina shaka mzungu alitokeaje middle east ?

Yesu mwenyewe wazungu aliwaona kwa nadra sana.

Wanachosahau Marastafari ni kuwa tukizungumzia pure breed ya africa ni mtu kama mwakyembe au magufuli hawa sio Semites ni pure africans (Africans ina include arabs)
 
isotaaaa

isotaaaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Messages
1,612
Points
2,000
Age
49
isotaaaa

isotaaaa

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2016
1,612 2,000

Point taken......and very clear Jah bless rastamen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
875
Points
500
msafiri.razaro

msafiri.razaro

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
875 500
Rasta ni way of life, sio dini most of it imekuwa distorted sana ni Maisha ya kutafuta uhuru wa kiroho sio mwili. Dini msingi wake mkuu ni Imani lakini rastafari ni elimu au hekima ya namna ya kuishi na chimbuko lake ni Mfalme Suleiman au King Solomon alitawala afrika pia lakini uhusiano na Haile Selasi au watawala wa Ethiopia ni Malkia Shebba. Ilibinadamu aweze kuona maono ya kiroho ni Lazima avuke uwezo wake wa fikra Yaani (a go beyond the mind) ni kitu kugumu lakini kina triki zake. Hii process unaitwa getting higher ni experience ambayo Labda watumia madawa ya kulevya tuu wanaifika kidogo au mtu wa kawaida pale unapofikia kojoa wakati wa tendo la ndoa au kufika kileleni kwa kina dada. Rasta walifundiishwa ku get higher kwa kuvuta Ganja (sio bangi) ni Jani la kichaka kisicho mzizi ni tafsiri ya Musa kwenye biblia kuona kichaka kibichi kinaungua. Rastas walikuwa wanajitole maisha na kuachana possesion zao kuishi msituni Ili kupata enlightment. Ziko njia nyingi the kwenda beyond the mind wajapani na wachina wanatumia kum-fu, kundalini Yogis wanatumia punyeto, au Yogis wengi wanatumia controlled meditations. Ndio Maana slogani kubwa ya Rasta ni ' I and I' yeye na mungu na kila kitu ni Kimoja kwa tafsiri ya mtezamo wa kiroho.
 
Duh umetema nondo za hatari sana mkuu
 
MTOTO WA KUKU

MTOTO WA KUKU

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Messages
2,196
Points
2,000
MTOTO WA KUKU

MTOTO WA KUKU

JF-Expert Member
Joined May 3, 2012
2,196 2,000
Mkuu umefukua mawe ya hatari.... Iree
Rasta ni way of life, sio dini most of it imekuwa distorted sana ni Maisha ya kutafuta uhuru wa kiroho sio mwili. Dini msingi wake mkuu ni Imani lakini rastafari ni elimu au hekima ya namna ya kuishi na chimbuko lake ni Mfalme Suleiman au King Solomon alitawala afrika pia lakini uhusiano na Haile Selasi au watawala wa Ethiopia ni Malkia Shebba. Ilibinadamu aweze kuona maono ya kiroho ni Lazima avuke uwezo wake wa fikra Yaani (a go beyond the mind) ni kitu kugumu lakini kina triki zake. Hii process unaitwa getting higher ni experience ambayo Labda watumia madawa ya kulevya tuu wanaifika kidogo au mtu wa kawaida pale unapofikia kojoa wakati wa tendo la ndoa au kufika kileleni kwa kina dada. Rasta walifundiishwa ku get higher kwa kuvuta Ganja (sio bangi) ni Jani la kichaka kisicho mzizi ni tafsiri ya Musa kwenye biblia kuona kichaka kibichi kinaungua. Rastas walikuwa wanajitole maisha na kuachana possesion zao kuishi msituni Ili kupata enlightment. Ziko njia nyingi the kwenda beyond the mind wajapani na wachina wanatumia kum-fu, kundalini Yogis wanatumia punyeto, au Yogis wengi wanatumia controlled meditations. Ndio Maana slogani kubwa ya Rasta ni ' I and I' yeye na mungu na kila kitu ni Kimoja kwa tafsiri ya mtezamo wa kiroho.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rhz4567

Rhz4567

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2018
Messages
932
Points
1,000
Rhz4567

Rhz4567

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2018
932 1,000
Tumsubiri
Yeriko Nyerere nayeye atasemaje
 
Forum statistics

Threads 1,285,935
Members 494,834
Posts 30,879,450
Top