Rasta Mpoto abambwa akila nyama mchana kweupee

Rasta mashuhuri hapa nchi Mrisho Mpoto mapema wiki hii amebambwa akiwa nyuma ya kiosk kimoja maeneo ya Posta akiwa anakunywa stone tangawizi huku akiudanganya utumbo kwa Sambusa za NYAMA.

Mashuhuda walioshuhudia tukio hilo wamesema kuwa pamoja na mjomba kusimama ktk imani za Rasta za kutokula nyama lakini yeye mara kadhaa amekutwa akigonga vitoweo mbalimbali vikiweno FIRIGISI, PWEZA na mara kadhaa amekutwa akiwa kakumbatia bakuli la supu ya UTUMBO.

''yule nyie hamumjui, yule ana uchu wa nyama kama nini...kwani ile ndo mara yale ya kwanza?''....
Alisikika Dada mmoja ambaye hakuonyesha kushtushwa na uroho wa Mjomba.

Jamani ee kama huna cha kupost nyamaza kimya uwe unasoma za wenzako tu. Ni kukosa uwezo wa kufikiri kuweka mambo ya udaku hapa. jamii forum lazima iwe na rules governing posting. I hate this.
 
Alitangaza wapi kuwa hali nyama?!. Je umeishaenda huko kuulizia kama hajatengua kauli hiyo? Ama lazima akueleze wewe hapo? Tuwe watu makini vinginevyo TUTAPUUZWA TU.

Hoja yangu ipo based na mleta thread, na responses za wachangiaji. Hakuna haja ya kujinasibu urasta wakati unafakamia nyama, hivyo ndo social codes zinavyohitaji.
 
Rasta mashuhuri hapa nchi Mrisho Mpoto mapema wiki hii amebambwa akiwa nyuma ya kiosk kimoja maeneo ya Posta akiwa anakunywa stone tangawizi huku akiudanganya utumbo kwa Sambusa za NYAMA.

Mashuhuda walioshuhudia tukio hilo wamesema kuwa pamoja na mjomba kusimama ktk imani za Rasta za kutokula nyama lakini yeye mara kadhaa amekutwa akigonga vitoweo mbalimbali vikiweno FIRIGISI, PWEZA na mara kadhaa amekutwa akiwa kakumbatia bakuli la supu ya UTUMBO.

''yule nyie hamumjui, yule ana uchu wa nyama kama nini...kwani ile ndo mara yale ya kwanza?''....
Alisikika Dada mmoja ambaye hakuonyesha kushtushwa na uroho wa Mjomba.
Big bloody deal!!!!!!
 
NANUKUU...''[huyu Baba ndo zake hizo,,anawalaghai marasta wenzake kuwa yeye hali nyama, kumbe akipata nafasi anajipendelea...ona wenzake wanavyokonda...halafu ona yeye anavyochanika''...

Alisikika mama mmoja akilalamika.
huku wakati huo Mjomba akiwa anajifuta mafuta mdomoni.
 
Kwani ana imani kali ya Urasta? Jamani sio kila Rasta lazima asile nyama wengi wanafuga Rasta kwa matakwa yao binafsi na si vinginevyo mnavyo fikiri lazima wawaige wa Jamaica.
 
Naomba mkubaliane na mimi kuwa siku hizi Rasta ni urembo kwa maselebrite wengi,including wacheza mpira.na kwa South africa ni just aina ya nywere kama nywere nyingine.so si lazima kila afugaye rasta ni rastafarian
 
Hamna udaku. Kwa nini udanganye kuwa huli nyama halafu huko machakani majiani wajipinda?? Shurti watu wawe wanasimamia wanayoyasema pamoja na kwamba haikuwalazimu kujiapiza mbele za wanajamii.
Kadanganya wapi? au umesikia akighani kwenye mashairi ndo ukachukulia ukweli? Siyo kila afugaye nywele ndefu ni muumini wa rastafary!
 
Kadanganya wapi?

Wapi nimesema kadanganya. Lete uthibitisho usio na shaka.

au umesikia akighani kwenye mashairi ndo ukachukulia ukweli? Siyo kila afugaye nywele ndefu ni muumini wa rastafary!

Kama umesikia ni wewe, hivyo jijbu mwenyewe assumptions zako. Hizo habari za kufuga nywele na urasta, it is silly recap. Hakuna asiyejua hilo.
 
Wapi nimesema kadanganya. Lete uthibitisho usio na shaka.

Kama umesikia ni wewe, hivyo jijbu mwenyewe assumptions zako. Hizo habari za kufuga nywele na urasta, it is silly recap. Hakuna asiyejua hilo.

Safi sana abdulrahim a.k.a al islaam nadhif...
Naona wameingia chaka baada ya kuwapa dawa.
Hii sehemu inadili na vimbwanga vya mastaa.
Sasa hiyo habari ya Mjomba hapa ndo mahala kwake.
Kama ingeandikwa kwenye jukwaa la siasa basi watu wangeponda na kulaumu kuwa kwenye biriani tumeweka mlenda.

Narudia tena msikurupuke siku nyingine.
Mnajishaua mnaijua JF kumbe uharo mtupu.
 
Naomba mkubaliane na mimi kuwa siku hizi Rasta ni urembo kwa maselebrite wengi,including wacheza mpira.na kwa South africa ni just aina ya nywere kama nywere nyingine.so si lazima kila afugaye rasta ni rastafarian

I take it by "rasta" you mean dreadlocks.
 
Wakuu, kuwa Rasta si lazima uwe Vegeterian. Rasta eats I-tal foods. This is food that is cooked but served as raw as possible. It never touches chicals, it's natural and it isn't canned. Many Rastas are vegetarians since it can't be nice to eat almost raw meat. Those Rastas who eat meat however don't eat pig since pigs are the scavengers of land. Fish however is common food for the Rastas though they're not allowed to eat any shellfood since lobsters, crabs, shrimps and so on are the scavengers of the sea and the fish that they eat must be no more than 12 inches long.

They are/rasta neither allowed to drink anything. Liquor, milk, coffee and soft drinks are seen as unnatural.

[SIZE=-1]Rastas are neither allowed to work or travel with aeroplane called the "Iron Bird". You wonder how Bob Marley made his money and traveled to his concerts outside of Jamaica.[/SIZE]
 
Kipi cha ajabu?kwani unafikiri marastafali wasikuhizi hawali nyama?wanakuwa maras just for fashion tu wala si vinginevyo.
 
Hiyo nyama mjomba ameiiba au ameinunua? Kama ameilipia taabu iko wapi?
 
Hiyo nyama mjomba ameiiba au ameinunua? Kama ameilipia taabu iko wapi?

Tabu iko hapa.
Kwa nini atangaze kuwa yeye ni rasta hali nyama ile hali akijua kuwa yeye ni kioo cha jamii hivyo kuna watu wa jamii fulani wanamfuatisha...halafu yeye akienda pembeni anapakia full madikodiko.
Hilo ndo tatizo.
yeye anafumuka halafu wenzake wanabakia kama mistimu kwa jinsi walivyonyooka
 
Back
Top Bottom