Rasmu ya katiba mpya inamapungufu mengi.

YUDITHA

Senior Member
May 5, 2013
154
28
Kwa Aliyesoma Na Kuielewa Rasmi Ya Katiba Mpya Bila Shaka Anaweza Ungana Nami Ktk Kutoa Maoni Ya Kulitetea Taifa Letu.

Madhalani Naweza Gawa Rasmi Hii Ktk Makundi Mawili (a). Utaifa Na Mfumo Wa Kiutawala Na Kiuongozi (b). Mfumo Wa Utendaji. Ktk Kundi (a) Rasmu Imejibu Kilio Cha Wananchi Kwa Asilimia Kubwa Tukianzia Tunu Za Taifa, Maadili Ya Viongozi Na Mfumo Wa Kiutawala Ktk Serikali Kuu.

Tatizo Linakuja; (a). Hakuna Adhabu Ya Moja Kwa Moja Iliyotajwa Kama Mtu Atakiuka Maadili Ya Uwongozi Na Hata Mtu Kukiuka Tunu Za Taifa. (b) Rasmu Bado Imekumbatia Mfumo Wa Uteuzi Jambo Ambalo Ni Hatari Kwa Taifa Kwa Kiongozi Wa Nchi Kumteua Mtu Kutokana Na Ukaribu Wake.

Pendekezo Katiba Mpya Itamke Kuwa Viongozi Wote Waandamizi Serikalini Ikiwa Sambamba Na Mkuu Wa Jeshi La Polis, Mwanasheria Mkuu, Jaji Mkuu, Katibu Kiongozi, Mkuu Wa Majeshi Jwtz Na Jkt, Wakuu Wa Vyuo Vikuu Vya Serikali Na Idara Mbalimbali Waombe Na Wafanyiwe Interview.

Pia Wakuu Wa Mikoa wachaguliwe Na Wananchi Wa Mkoa Husika Ili Wawajibike Kwa Wananchi.
 
Tunu ya taifa waongeze UKWELI kwani tuna viongozi/watawala waongo sana.
 
Katiba ni Maandishi kwenye karatasi tu, mwisho wa siku wanaotakiwa kuifwata na kuitii ni Watu ambao kwa bahati mbaya sana ni wale wale tu, hata ulete Katiba sijui ya wapi, hata iwe Bora kuliko zote Duniani, maadamu watu ni wale wale hakuna jipya!

Mambo ya serkali za mtaa (Wakuu wa mkoa, wilaya, madiwani, wabunge wa Tanganyika au Zanzibarn.k) ni jukumu la nchi mshirika maanake Tanganyika au Zanzibar na wala si mambo ya Muungano. Hivyo bado kuna katiba ya Tanganyika bado nayo itaundwa ili tuwe na katiba ya Tanganyika kama ilivyo kwa Zanzibar!
 
Back
Top Bottom