Rasmi: Tanzania yaipiku Kenya kwa gharama za miradi baada ya miaka 35

GREAT VISIONAIRE,
Ungetofautisha GHARAMA na THAMANI ungeeleweka zaidi. Mimi nilivyokuelewa kabla sijakusoma ni kuwa miradi yetu inatugharimu zaidi ya Kenya kumbe ulimaanisha THAMANI ya miradi mipya iliyoanzishwa ni kubwa kuliko KENYA.

Hariri bandiko lako ili ueleweke kirahisi.
 
Samahani, gas asili ya Ntwara wana mpango wa kuifanya Liquified Natural Gas kwa ajili ya mitungi yetu ya majumbani?

Sent using Jamii Forums mobile app
No ile ya mitungi inaitwa CNG. Hii inaitwa LNG. LNG ni sawa na kuchukua yale matank ya mafuta-mbele na trailer yake 600 yakiwa yamejaa gesi alafu uyacompressed na kuyaweka kwenye kisanduku kidogo, mfano ya vile visanduku vya bati vya watoto wa boarding school.

Sasa imagine hivyo visanduku vipakiwe kwenye macontainer kwenye meli for export. Tz tuna hazina ya gesi futi za ujazo 62. Hii ni sawa na kusema ukiimwaga au kuitoa juu ya ardhi inakacover TZ nzima usawa wa magoti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia laws of market forces of demand and supply utapata jibu mkuu. Deficit ya umeme tz kwa sasa ni 280 mw na ile bwawa litatoa 1500+mw .
Halafu kitaalam huwezi kuandika kuwa "lile bwawa litatoa 1500+mw" badala ya kuandika "inakadiriwa linaweza kuwa linatoa 1500+mw za umeme" mpaka likianza kuzalisha ndiyo itajulikana litatoa kiasi gani cha umeme.

"Market forces of demand and supply" haitanguliwi kwanza na "Investment and running costs" Yaani kama tumekopa hiyo mikopo haitajumlishwa kwenye gharama za uwekezaji? Bwawa litakapokamilika hakutakuwa na gharama za uendeshaji wa huo mradi?

Bei ya umeme itashuka kwa kuwa tu kuna bwawa linazalisha 1500+mw?
 
Mkuu,

Hii project walishaipeleka Msumbiji lbd kama tutaanza upya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii project hapa Tz wana ya kwao na Mz pia wana ya kwao. MZ wao washaanza kujenga-wapo mbele yetu. Kampuni zinazotakiwa kujenga hapa TZ ni shell, exxonmobil, equinor, pavillion etc ambazo ni tofauti na zile za msumbiji.

Hungry energy countries zipo nyingi sana duniani. Mfano japan peke yake wanhitaji gesi nyingi sana, wanataka kuondokana na kutumia nuclear ku generate power sababu ya mitetemeko ya ardhi ya kila wakati kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana hapo nimeandika 1550+ au hukunielewa. Ningeandika 1500 hapo sawa. Kama hujui hiyo law sema nikusaidie mkuu. Kabla ya hiyo project tunafanya kitu kinaitwa financial and economic modeling.

Financial metrics are checked. Mfano tunaangalia kama project itakuwa na faida or not-hii tunaita NPV- future cash flows and investment amout are taken care. Pia tunaangalia Break even price. Hapa tunaangalia umeme tuuze kwa kiasi gani na kwa mda gani ili garama za uzalishaji ziwe zimerudi.

Tunaweza kupunguza bei ya umeme ili ule mda wa kurudisha gharama za uzalishaji uongezeke and vice versa. Pia tunaangalia EMV na IRR. karibu mkuu. Allen Kilewella,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana hapo nimeandika 1550+ au hukunielewa. Ningeandika 1500 hapo sawa. Kama hujui hiyo law sema nikusaidie mkuu. Kabla ya hiyo project tunafanya kitu kinaitwa financial and economic modeling. Financial metrics are checked. Mfano tunaangalia kama project itakuwa na faida or not-hii tunaita NPV- future cash flows and investment amout are taken care. Pia tunaangalia Break even price. Hapa tunaangalia umeme tuuze kwa kiasi gani na kwa mda gani ili garama za uzalishaji ziwe zimerudi. Tunaweza kupunguza bei ya umeme ili ule mda wa kurudisha gharama za uzalishaji uongezeke and vice versa. Pia tunaangalia EMV na IRR. karibu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dhu izi shule izi mmmmmh.......!!
Aya bwana sie macho...!
 
Dhu izi shule izi mmmmmh.......!!
Aya bwana sie macho...!
Mkuu hatuamki tu asubuhi na kusema tunafanya au tunataka project flani. Tunaangalia mambo mengi sana especially commercial/economic benefits. Siku hizi hata serikali ikiamua kujenga hispitali kwa ajili ya wananchi wake, commercial issues pia lazima ziwe implemented.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana hapo nimeandika 1550+ au hukunielewa. Ningeandika 1500 hapo sawa. Kama hujui hiyo law sema nikusaidie mkuu. Kabla ya hiyo project tunafanya kitu kinaitwa financial and economic modeling. Financial metrics are checked. Mfano tunaangalia kama project itakuwa na faida or not-hii tunaita NPV- future cash flows and investment amout are taken care. Pia tunaangalia Break even price. Hapa tunaangalia umeme tuuze kwa kiasi gani na kwa mda gani ili garama za uzalishaji ziwe zimerudi. Tunaweza kupunguza bei ya umeme ili ule mda wa kurudisha gharama za uzalishaji uongezeke and vice versa. Pia tunaangalia EMV na IRR. karibu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya madini uliyoyatoa nilijaribu kuyatumia kuanzisha biashara yakanikatisha tamaa. Yanahitaka uyatumie kuendeleza biashara inayoendelea na si inayoanza, nahisi huko serikalini mnaedit kila hatua ya mradi.
 
Hata kwenye kuanza kwa biashara unatumia pia mkuu. Lazima ujue initial investment na future cashflows za kila mwaka. Na lazima hizi chaflows ziwe discounted. Uki estimate hizi numbers unaweza pata NPV, IRR, Break even etc. Kwa hiyo utajua ni kipindi gani mtaji wako utakuwa umerudi. Una edit figures only ukihisi kina changes za cashflows.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara zilizokuwa zinafanyika Samunge enzi za "Kikombe cha babu" unaweza kuzilinganisha na hizo? Wewe umewahi kufika kwenye machimbo mapya uone biashara zinavofunguliwa?

Hizo unazoziita "Multiplier effect" ni lazima ziwe za kudumu. Wakati UDOM inajengwa tuliambiwa kwamba kutakuwa na "Multiplier effect" kama kwa Daraja la Nyerere pale Kigamboni, leo hii wewe unaziona hizo "multiplier effect kama tulivyoambiwa?

Hiyo miradi yote ni mikopo, ni lazima tuione kama itachukua miaka mingapi kurudisha fedha zinazowekezwa ili ianze kuleta faida. Kikwete alilalamika kulipa deni alilolikuta tangu enzi za Mwalimu. Unajua ni kwa nini?
Kwa hiyo unapendekeza isimamishwe isitekelezwe au unajaribu kusema serikali haina wataalamu waliofanya analysis kuona kama iko economically viable
 
Halafu kitaalam huwezi kuandika kuwa "lile bwawa litatoa 1500+mw" badala ya kuandika "inakadiriwa linaweza kuwa linatoa 1500+mw za umeme" mpaka likianza kuzalisha ndiyo itajulikana litatoa kiasi gani cha umeme.

"Market forces of demand and supply" haitanguliwi kwanza na "Investment and running costs" Yaani kama tumekopa hiyo mikopo haitajumlishwa kwenye gharama za uwekezaji? Bwawa litakapokamilika hakutakuwa na gharama za uendeshaji wa huo mradi?

Bei ya umeme itashuka kwa kuwa tu kuna bwawa linazalisha 1500+mw?
From the law of dmd and supply
"If supply exceeds demand the price go down assuming other factors remain constant"
 
Back
Top Bottom