Rasmi- Tanzania kupeleka timu nne michuano CAF msimu ujao

Wasivyokuwa na haya, wale waliokuwa wanawapokea wageni wakija kucheza na Simba wamekubali mbeleko ya Simba, tena wanashikilia kweli kweli wasianguke! 😂
Hivi Simba ilipokwenda kucheza na Namungo, WALE WAMAKONDE WAMWELA, WAMAKONDE NA WAMAKUA wanaoishi kule na wakaingia uwanjani, WALISIKIA AIBU KUISHANGILIA SIMBA YA DAR?

Jiulize hilo hilo kwa wanyakyusa waishio Mbeya, Wagogo waishio Dodoma.. etc
 
Kwenye hizo points mbona hata sisi Yanga tuna mchango wetu. Hivyo mlitakiwa mzipongeze Simba, Namungo na Yanga.

Timu iliyotakiwa izodolewe ni Azam na Mtibwa ambao waliwahi kushiriki na kutolewa mapema bila kupata point.
 
Mitimu mingi mingine itatutia aibu tu,inaweza kugongwa 8 ikagoma kuingiza timu uwanjani kama jamaa zetu fulani wakongwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom