Ni kutokana na mafanikio ya Simba S. CHii ni kutokana na taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) muda mfupi uliopita.
Hivi Simba ilipokwenda kucheza na Namungo, WALE WAMAKONDE WAMWELA, WAMAKONDE NA WAMAKUA wanaoishi kule na wakaingia uwanjani, WALISIKIA AIBU KUISHANGILIA SIMBA YA DAR?Wasivyokuwa na haya, wale waliokuwa wanawapokea wageni wakija kucheza na Simba wamekubali mbeleko ya Simba, tena wanashikilia kweli kweli wasianguke! 😂
ObviouslyJean hiyo Yanga wataenda kwa hisani/sababu ya Simba kufanya vizuri?
Viti maalum ndiyo Utopolo watakaliaKwa hiyo Yanga wataenda kwa hisani/sababu ya Simba kufanya vizuri?
katika points27.5 ,simba kachangia 24,namungo 2.5 uto 1 kuweni na hekima mnyamaze jameni khaaaaaKwenye hizo points mbona hata sisi Yanga tuna mchango wetu. Hivyo mlitakiwa mzipongeze Simba, Namungo na Yanga.
Timu iliyotakiwa izodolewe ni Azam na Mtibwa ambao waliwahi kushiriki na kutolewa mapema.
Tuishukuru coronaBila Simba tungeyasikia tu kwa majirani