Rasmi nimeamua kumwacha

Yes tukiwa kawa wew mia iv watahacha kuchezea hisia zetu vzr kwa kutetea bland y wanaume (kama tulivyopanga kweny vikao vyetu kaza mbaka aombe yeye msamaha)
 
Kuna binti nimemtema ndani ya wiki hii baada ya kuona ana utoto mwingi KUACHA NI MAAMUZI SAHIHI
 
Wakuu habari ya jioni, kama mnakumbuka wiki chache nyuma nilileta uzi hapa jukwaani kuhusu mahusiano nilonayo na aliyekuwa mpenzi wangu baada ya kushindwa vituko vyake nimeamua sasa kumtamkia maisha mema japo inauma lakini sometimes lazima kuacha kung'ang'ania sehemu ambayo hupendwi

Broo umefanya makosa makubwa kumtamkia mwanamke tuachane njia uliotumia sio sahihi ilitakiwa hapo ukaushee tuu bana
 
Piga chini
122593451_2740797049471953_1777710575627596097_n.jpg

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu habari ya jioni, kama mnakumbuka wiki chache nyuma nilileta uzi hapa jukwaani kuhusu mahusiano nilonayo na aliyekuwa mpenzi wangu baada ya kushindwa vituko vyake nimeamua sasa kumtamkia maisha mema japo inauma lakini sometimes lazima kuacha kung'ang'ania sehemu ambayo hupendwi
Kumbe ulikuwa bado tu, shubamit
 
Back
Top Bottom