Rasmi nimeamua kuachana na betting. Kubet ni kutafuta umasikini na ufukara

Kuna mjinga mmoja alinishawishi niwe na bet ila baada ya kumuona anataka kujiua baada ya kubet mshahara wake wote nikaona ktk maisha hakuna short cut…yan watu wanatoka jasho kutafuta hela halafu we ukae chini ya mti na simu yako upate ma milioni ya kununua V8 kama za pole pole hahaha hakunaga.
 
4914114e-5459-4ee2-8a7b-0344a1bf586f.jpg
kweny kubet kila unapoongeza mechi moja ndivyo unavyoongeza risk ya kuliwa Kama unamtaji mkubwa au hata mdog unaweza ukawa unawekez kweny mechi moja moja tuuh asilimia za wewe kula zinakua nying kuliko kuliwa
 
Betting ni nouma , watu wanapigwa Sana kwenye betting sema hawakwambii wanakwambia Tu mwanangu Jana nimeweka 3000 nikapiga laki mbili , Ila ukimwangalia jamaa hata Kula yake ni ya shida , aisee mi nilijarbu nilikula vitasa si vya nchi hii nikaamua kurun away
 
Wakuu kutokana na mafanikio na hasara mlizopata kupitia hiyo Betting je would you recommend wengine ambao hawaijui kujaribu bahati zao ama tusiingie kabisa huko? Hizo wins zinatamanisha ila pia hivo vipigo mmh🤔
Kama una roho nyepesi nakushauri achana na betting, betting inaleta stress mno Baada ya vipigo utajikuta unagombana na kila mtu ata mtu atakayepita mbele yako unaweza mchapa makofi... betting ni kwa wenye roho ngumu na wenye mitaji ya uhakika
 
Kama una roho nyepesi nakushauri achana na betting, betting inaleta stress mno Baada ya vipigo utajikuta unagombana na kila mtu ata mtu atakayepita mbele yako unaweza mchapa makofi... betting ni kwa wenye roho ngumu na wenye mitaji ya uhakika
 
Tangu niingie rasmi kwenye betting nimeshampiga mhindi kwa mbali mnoooo! Nikipitia transactions za account yangu yeye anaongoza kwa kunipiga tena possibly 98% kwa 2%. Lakn nikija kwenye pesa mimi nimemzidi wa 80% yeye ana 20%.
 
Ila mwindi anajua kuyumba aisee. Yaani hata ukiweka ashinde yoyote ngoma inaisha sare.

Ukiweka coner zifike 8, zinaishia 7. Ukiweka magoli yafike 2 hawafungani.
Ila mimi pamoja na vipigo navyopata simwachi, mpaka natembea na fimbo.
Mwindi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom