Rasmi: ni Simba sc vs Jwaneng galaxy football club

Mkuu, naomba ufafanuzi. Tunajua kuwa kuna timu mbili zilikuwa zinakutana,michezo miwili, mshindi wa jumla ndiye atakutana na Simba .Sasa huyu, imekuwaje?
Mechi ya kwanza walishinda 2-0 wakiwa nyumbani leo wamepgwa 1-0 wakiwa Afrika ya kati wamepita kwa aggregate
 
Yanga wakisha tolewa kwenye michuano ya klabu bingwa jpili, alafu waanze utopolo wao wa kuwapokea wapinzani wa simba aisee! ntawashusha thamani sana hawa mbuzi ..
unaimia vipi na yanga nyie si mlishangilia gor la rivers subir nyakati yenu ndo mtajia hamjui
 
unaimia vipi na yanga nyie si mlishangilia gor la rivers subir nyakati yenu ndo mtajia hamjui
itakua aibu kubwa sana kwenu, hakuna hata shabiki mmoja wa Simba aliyewapokea rivers united na wakatu furahisha, nyie mmewapokea mpaka basi na wote tumewachapa ..
 
Ukiingia makundi unalipwa shingapi vile?

Screenshot_20210918-053126_Chrome.jpg

Mkeka ni kama unavyosoma hapo juu.

Dolari za kimarekani 550,000 sawa na takribani bilioni 1.2 za Tanzania.
 
Huu mche
Jwaneng Galaxy Football Club, ni team ambayo itacheza na Simba katika michuano ya club bingwa Africa.
Ni team mpya ndio kwanza inamiaka 6 tu( imeanzishwa 2015), kutoka huko BOTSWANA.
Vipi mwana JF unaionaje hii team, na ipi nafasi ya simba kuelekea makundi ya klabu bingwa.
NB: Simba hatudharau mechi, kipimo anachopimiwa Al Ahly ndicho hicho hicho watakachopimiwa hawa vijana wa kiswana.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile ap

Jwaneng Galaxy Football Club, ni team ambayo itacheza na Simba katika michuano ya club bingwa Africa.
Ni team mpya ndio kwanza inamiaka 6 tu( imeanzishwa 2015), kutoka huko BOTSWANA.
Vipi mwana JF unaionaje hii team, na ipi nafasi ya simba kuelekea makundi ya klabu bingwa.
NB: Simba hatudharau mechi, kipimo anachopimiwa Al Ahly ndicho hicho hicho watakachopimiwa hawa vijana wa kiswana.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Huu mchezo unaweza kuwa mgumu sana
 
Hakuna timu ndogo kimataifa ni mwendo wa kukaza tu.
Udi Songo walitukatisha furaha yetu ule msimu.
 
Back
Top Bottom