Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,681
- 1,698
Matokeo ya futiboli ni matatu tu mkuu, naamini unayafahamu.Wewe sio shabiki aisee
Juzi Barca nao wametoka kupigwa na kitimu cha ajabu.....kwahiyo utakuwa ni mtu wa kuhamahama?