Rasmi: Mbwana Samatta asaini miaka minne na nusu Aston Villa

March 2,2020
London,England

Wembley Stadium Carabao Cup Final Match Aston Villa Vs Manchester City

Balozi Bongo Zozo na wenzake wakiwa Wembley Stadium wakiwakilisha



Source: Bongo Zozo
 
Mikataba ya mwaka mmoja au miezi sita iko Tanzania na nchi nyingie zakubahatisha. Samatta kusainishwa miaka minne maana yake akiperform fresh atauzwa kwa dau kubwa sana kuvunja mkataba.
Ni kumuombea tu hapo,kiujumla huo mkataba ni kibiashara badae auzwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom