FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,881
- 109,188
wewe ni kada wa magamba, ama kijana wa nape kazini?
Hakuna cha ukada katika hili, ni ukweli usiopingika. Kama mshahara haukutoshi, acha kazi tafuta mbinu mbadala. Ndio njia pekee ya kushinikiza Serikali ilipe zaidi. Hivi kama unaendelea kufanya kazi kwa mshahara mdogo ambao haukotoshi kula wiki moja unategemea nini? kama si mwizi basi mganga wa kenyeji hapo kazini.