Rasimu ya katiba yapingwa vikali ktk vikao vya .......


M

mwobho

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2013
Messages
810
Likes
71
Points
45
M

mwobho

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2013
810 71 45
TANZANIA TUNA HOFU GANI MPAKA
TUSHINDWE KUWEKA MAHAKAMA YA
KADHI KTK KATIBA YA JAMHURI YA
MUUNGANO?
Baada ya kupitia hoja mbalimbali
zilizotolewa na wachambuzi mbalimbali
wa mambo ya kitaifa na
kimataifa ,nimegundua yafuatayo.
Kwanza kuna upotoshaji mkubwa
unaofanyika kwa makusudi au kwa
kutokujua.wengi wanadai kuwa
mahakama ya kadhi itahukumu kukatwa
kwa mikono wezi na kupopolewa mawe
kwa wazinzi na sheria kadha wa kadha
za kiislaam.
Ukweli ni kuwa hizo sheria huwa
hazifanyi kazi katika secular state
kama tanzania.
Mahakama ya kadhi itashughulikia
migogoro ya ndoa,mirathi na taraka.hii
ni kwasababu ndoa zetu hufungwa kwa
misingi ya imani ya dini. Mfano
waislaam hufunga ndoa ya kiislaam na
Wakristo hufunga ndoa kanisani kwa
padri au askofu.lkn pamoja nakuwa ni
ndoa za kidini lkn serikali inazitambua.
Kwa mujibu wa sheria za kiislaam ndoa
za kiislaam zina sheria zake hivyo
kulazimisha migogoro ya ndoa na
mirathi kuamuliwa na mahakama za
kiseikula/serikali ni kuingilia uhuru wa
kiimani wa waislaam,
kwamisingi hiyo ndio maana hata wakati
wa ukoloni wa mjerumani na baadae
mwingereza,pamoja na kuwa walikuwa
wakristo wazuri lkn suala la nahakama
ya kadhi liliachwa na waislaam kuamua
mambo yao ya mirathi na ndoa kwa
mujibu wa imani zao.hakuna aliekatwa
mkono wala kuuawa kama
inavyopotoshwa sasa hivi.
Kwanini mtu afunge ndoa ya kidini
itambulike halafu swala la mirathi na
taraka lionekane tatizo?
Nchi nyingi sana wakiweme jirani zetu
wa jenya na uganda wanamahakama ya
kadhi tena inatambulika kikatiba.kwanini
tanzania liwe tatizo?maana hata
idadibya waislaam wa tanzania ni wengi
sana ukilinganisha na na wale wa kenya
na Uganda.
kuhusu mahakama hiyo kugharamiwa
na serikali sioni tatizo kwani waislaam
wa tanzania nao ni watanzania na
wanahaki ya kuhudumiwa na serikali
yao maana nao ni walipa kodi kama
wafanyavyo wengine.yapi madai ya
kanisa kupewa zaidi ya bilioni 164 kwa
kila mwaka kwaajili ya kuendeshea
taasisi zao za shule na hospital.kupitia
mkataba wa wamemorandum of
understanding kati ya serikali na kanisa
mwaka 1992.na kodi za watanzania ndio
zinazo tumika kulipa mabilioni hayo na
watu wamekaa kimyaaaaaa.
my take: Amani ni tunda la haki ktk taifa
lolote duniani.kama tunapaipenda
Tanzania ni bora tutendeane haki na
uadilifu.
attachment;sehemu ya katiba ya kenya
inayoonyesha jinsi mahakama ya kadhi
inavyotambuliwa kikatiba.
Staff webmail login | Vacancies |
Tenders | Court finder
The Judiciary
The Supreme Court
The Courts
Schedule of Cases
Law Reports
The Judicial Service
Commission
The National Council on
Administration of Justice
Office of the Chief Registrar
The Ombudsperson
News & Gallery
Office of The Chief Justice
Judiciary Training Institute
THE COURTS
Environment and Land Court
Judges, 2012
Judges of The Judiciary, 2012
CONTACT US
Send message
The Courts
Home » The Courts
THE COURT OF APPEAL
The Court of Appeal is established
under Article164 of the Constitution and
consists of a number of judges, being
not fewer than twelve, as may be
prescribed by an Act of Parliament and
the Court is to be organized and
administered in the manner prescribed
by an Act of Parliament.
The Court comprises of a president of
the Court of Appeal who is elected by
the judges of the Court of Appeal from
among themselves.
The Court of Appeal has jurisdiction to
hear appeals from the High Court and
any other court or tribunal as
prescribed by an Act of Parliament.
THE HIGH COURT
The High Court is established under
Article 165 and it consists of a number
of judges to be prescribed by an Act of
Parliament.
The Court is organized and
administered in the manner prescribed
by an Act of Parliament.
The Court has a Principal Judge, who
is elected by the judges of the High
Court from among themselves.
The High Court has—
1. unlimited original jurisdiction in
criminal and civil matters;
2. jurisdiction to determine the question
whether a right or fundamental
freedom in the Bill of Rights has been
denied, violated, infringed or
threatened;
3. jurisdiction to hear an appeal from a
decision of a tribunal appointed under
this Constitution to consider the
removal of a person from office, other
than a tribunal appointed under Article
144;
4. jurisdiction to hear any question
respecting the interpretation of this
Constitution including the determination
of—
i. the question whether any law is
inconsistent with or in contravention of
this Constitution;
ii. the question whether anything said to
be done under the authority of this
Constitution or of any law is
inconsistent with, or in contravention
of, this Constitution;
iii. any matter relating to constitutional
powers of State organs in respect of
county governments and any matter
relating to the constitutional
relationship between the levels of
government; and
iv. a question relating to conflict of laws
under Article 191; and
5. any other jurisdiction, original or
appellate, conferred on it by legislation.
The High Court does not have
jurisdiction in respect of matters
reserved for the exclusive jurisdiction
of the Supreme Court under this
Constitution or falling within the
jurisdiction of the courts contemplated
in Article 162 (2).
The High Court has supervisory
jurisdiction over the subordinate courts
and over any person, body or authority
exercising a judicial or quasi-judicial
function, but not over a superior court.
SUBORDINATE COURTS
The subordinate courts are provided
for under Article 169 of the Constitution
and they are—
1. The Magistrates Courts
2. The Kadhis' Courts
The Kadhis’ Court is comprised of a
Chief Kadhi and such number, being
not fewer than three, of other Kadhis
as may be prescribed under an Act of
Parliament.
The jurisdiction of a Kadhis’ court is
limited to the determination of
questions of Muslim law relating to
personal status, marriage, divorce or
inheritance in proceedings in which all
the parties profess the Muslim religion
and submit to the jurisdiction of the
Kadhi’s courts.
3. The Courts Martial
Section 84 of the Armed Forces Act
gives a court martial power to try any
person subject to the Act for any
offence which under the Act is triable
by court martial, and to award for such
an offence any punishment provided by
the Act for that offence.
4. Tribunals
 
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Messages
12,498
Likes
2,646
Points
280
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2012
12,498 2,646 280
Hilo suala la Kadhi tutaliongelea misikitini siyo kwenye katiba hebu ondoa udini wako hapa
 
D

dotto

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Messages
1,724
Likes
21
Points
135
D

dotto

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2010
1,724 21 135
Mahakama ya kadhi ni jambo la kidini na linahusu waislamu pekee! Mahakama hii yaweza kuendeshwa na waislamu wenyewe na kwa pesa yao. Siyo mfumo rasmi wa kiserikali. hakuna hakimu anayesomeshwa na serikali akaja kuwa hakimu wa kikadhi.

Waislamu ni watu wenye miiko na mambo ya nguruwe. kodi za serikali pia zatokana na kodi za biashara ya nguruwe. Je, ni halali muislamu kulipwa mishahara itokanayo na pesa ya kodi ya nguruwe na pombe??

Waislamu na utajiri walionao wameshindwa kuendesha mahakama ya kadhi kweli au ni namna na kutaka kutambua uislamu ndani ya katiba ya nchi kama taasisi muhimu katika nchi hii??!!
 
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
5,568
Likes
2,905
Points
280
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
5,568 2,905 280
Hivi anayewazuia Waislamu wasiwe na mahakama ya kadhi ni nani? Waislam waanzishe tu, ikiwezekana hata kila kijiji kiwe nae huyo kadhi, issue ni kuifanya mahakama itambuliwe na serikali, kuna nini hapo? Halafu, sorry, mimi ni Mkristo, ikitokea sijaelewana na viongozi wangu wa kidini wa mahali ninapo abudu, nitapanda kazi kwa wakubwa wake, hivi hapo kwa Waislamu hili linashindikana? Au Waislamu wengi hawana utamaduni wa kuwasikiliza viongozi wao hadi serikali iingilie kati? Kama una waumini wa hivyo ambao hawawezi kuwasikiliza viongozi wao hadi serikali ingilie kati basi aidha viongozi wao wanamatatizo au waumini wa kislamu ndio wanashida, sasa kuna sababu gani ya kujiita Mwislam.
 
S

SISAMBWE

Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
42
Likes
0
Points
0
Age
56
S

SISAMBWE

Member
Joined Apr 20, 2013
42 0 0
TANZANIA TUNA HOFU GANI MPAKA
TUSHINDWE KUWEKA MAHAKAMA YA
KADHI KTK KATIBA YA JAMHURI YA
MUUNGANO?
Baada ya kupitia hoja mbalimbali
zilizotolewa na wachambuzi mbalimbali
wa mambo ya kitaifa na
kimataifa ,nimegundua yafuatayo.
Kwanza kuna upotoshaji mkubwa
unaofanyika kwa makusudi au kwa
kutokujua.wengi wanadai kuwa
mahakama ya kadhi itahukumu kukatwa
kwa mikono wezi na kupopolewa mawe
kwa wazinzi na sheria kadha wa kadha
za kiislaam.
Ukweli ni kuwa hizo sheria huwa
hazifanyi kazi katika secular state
kama tanzania.
Mahakama ya kadhi itashughulikia
migogoro ya ndoa,mirathi na taraka.hii
ni kwasababu ndoa zetu hufungwa kwa
misingi ya imani ya dini. Mfano
waislaam hufunga ndoa ya kiislaam na
Wakristo hufunga ndoa kanisani kwa
padri au askofu.lkn pamoja nakuwa ni
ndoa za kidini lkn serikali inazitambua.
Kwa mujibu wa sheria za kiislaam ndoa
za kiislaam zina sheria zake hivyo
kulazimisha migogoro ya ndoa na
mirathi kuamuliwa na mahakama za
kiseikula/serikali ni kuingilia uhuru wa
kiimani wa waislaam,
kwamisingi hiyo ndio maana hata wakati
wa ukoloni wa mjerumani na baadae
mwingereza,pamoja na kuwa walikuwa
wakristo wazuri lkn suala la nahakama
ya kadhi liliachwa na waislaam kuamua
mambo yao ya mirathi na ndoa kwa
mujibu wa imani zao.hakuna aliekatwa
mkono wala kuuawa kama
inavyopotoshwa sasa hivi.
Kwanini mtu afunge ndoa ya kidini
itambulike halafu swala la mirathi na
taraka lionekane tatizo?
Nchi nyingi sana wakiweme jirani zetu
wa jenya na uganda wanamahakama ya
kadhi tena inatambulika kikatiba.kwanini
tanzania liwe tatizo?maana hata
idadibya waislaam wa tanzania ni wengi
sana ukilinganisha na na wale wa kenya
na Uganda.
kuhusu mahakama hiyo kugharamiwa
na serikali sioni tatizo kwani waislaam
wa tanzania nao ni watanzania na
wanahaki ya kuhudumiwa na serikali
yao maana nao ni walipa kodi kama
wafanyavyo wengine.yapi madai ya
kanisa kupewa zaidi ya bilioni 164 kwa
kila mwaka kwaajili ya kuendeshea
taasisi zao za shule na hospital.kupitia
mkataba wa wamemorandum of
understanding kati ya serikali na kanisa
mwaka 1992.na kodi za watanzania ndio
zinazo tumika kulipa mabilioni hayo na
watu wamekaa kimyaaaaaa.
my take: Amani ni tunda la haki ktk taifa
lolote duniani.kama tunapaipenda
Tanzania ni bora tutendeane haki na
uadilifu.
attachment;sehemu ya katiba ya kenya
inayoonyesha jinsi mahakama ya kadhi
inavyotambuliwa kikatiba.
Staff webmail login | Vacancies |
Tenders | Court finder
The Judiciary
The Supreme Court
The Courts
Schedule of Cases
Law Reports
The Judicial Service
Commission
The National Council on
Administration of Justice
Office of the Chief Registrar
The Ombudsperson
News & Gallery
Office of The Chief Justice
Judiciary Training Institute
THE COURTS
Environment and Land Court
Judges, 2012
Judges of The Judiciary, 2012
CONTACT US
Send message
The Courts
Home » The Courts
THE COURT OF APPEAL
The Court of Appeal is established
under Article164 of the Constitution and
consists of a number of judges, being
not fewer than twelve, as may be
prescribed by an Act of Parliament and
the Court is to be organized and
administered in the manner prescribed
by an Act of Parliament.
The Court comprises of a president of
the Court of Appeal who is elected by
the judges of the Court of Appeal from
among themselves.
The Court of Appeal has jurisdiction to
hear appeals from the High Court and
any other court or tribunal as
prescribed by an Act of Parliament.
THE HIGH COURT
The High Court is established under
Article 165 and it consists of a number
of judges to be prescribed by an Act of
Parliament.
The Court is organized and
administered in the manner prescribed
by an Act of Parliament.
The Court has a Principal Judge, who
is elected by the judges of the High
Court from among themselves.
The High Court has—
1. unlimited original jurisdiction in
criminal and civil matters;
2. jurisdiction to determine the question
whether a right or fundamental
freedom in the Bill of Rights has been
denied, violated, infringed or
threatened;
3. jurisdiction to hear an appeal from a
decision of a tribunal appointed under
this Constitution to consider the
removal of a person from office, other
than a tribunal appointed under Article
144;
4. jurisdiction to hear any question
respecting the interpretation of this
Constitution including the determination
of—
i. the question whether any law is
inconsistent with or in contravention of
this Constitution;
ii. the question whether anything said to
be done under the authority of this
Constitution or of any law is
inconsistent with, or in contravention
of, this Constitution;
iii. any matter relating to constitutional
powers of State organs in respect of
county governments and any matter
relating to the constitutional
relationship between the levels of
government; and
iv. a question relating to conflict of laws
under Article 191; and
5. any other jurisdiction, original or
appellate, conferred on it by legislation.
The High Court does not have
jurisdiction in respect of matters
reserved for the exclusive jurisdiction
of the Supreme Court under this
Constitution or falling within the
jurisdiction of the courts contemplated
in Article 162 (2).
The High Court has supervisory
jurisdiction over the subordinate courts
and over any person, body or authority
exercising a judicial or quasi-judicial
function, but not over a superior court.
SUBORDINATE COURTS
The subordinate courts are provided
for under Article 169 of the Constitution
and they are—
1. The Magistrates Courts
2. The Kadhis' Courts
The Kadhis’ Court is comprised of a
Chief Kadhi and such number, being
not fewer than three, of other Kadhis
as may be prescribed under an Act of
Parliament.
The jurisdiction of a Kadhis’ court is
limited to the determination of
questions of Muslim law relating to
personal status, marriage, divorce or
inheritance in proceedings in which all
the parties profess the Muslim religion
and submit to the jurisdiction of the
Kadhi’s courts.
3. The Courts Martial
Section 84 of the Armed Forces Act
gives a court martial power to try any
person subject to the Act for any
offence which under the Act is triable
by court martial, and to award for such
an offence any punishment provided by
the Act for that offence.
4. Tribunals

Hili suala la mahakama ya kadhi msilichukulie kijuju hivi ni suala la imani ya watu. Tuna sema serikali haina dini na masuala ya dini ni mabo binafsi. Ukitoa mifano ya Kenya na Uganda unakosea na hata mifano ya Wajerumani na Waingereza pia una kosea sana wote hao wana maana zao kuingiza mahama hiyo kwenye katiba zao. Kenya na Uganda idadi ya waisilamu ni ndogo kiasi kwamba serikali iliamua kuwapendelea minority kwaajiri ya kubalance vitu katika mfumo wa serikali zao. Wakoloni wao wali ruhusu vitu hivi kama njia ya kutugawa ili watutawale vizuri, maana sio mahakama ya kadhi tu zilizo ruhusiwa waliruhusu makabila kuwa mahakama zao chini ya machifu wao yote hii ili watugawe waweze kututawala vizuri. Kwa hapa kwetu inahitajika busara ya hali ya juu sana kuelewa hili ili umoja wa kitaifa udumishwe.

Wakristo kupewa ruzuku kama ni kweli huo ni ukiukwaji mkubwa wa matumizi ya kodi zetu nakushauri kufuatilia ili kujua ukweli wa hili. Kwani kuna utaratibu wa misamaha ya kodi kwa taasisi za kidini kama ni hilo basi si kwa wakristo pekeyao ni kwa madhehebu yote.
 
M

Mtabe

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
675
Likes
6
Points
0
M

Mtabe

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
675 6 0
Hili suala la mahakama ya kadhi msilichukulie kijuju hivi ni suala la imani ya watu. Tuna sema serikali haina dini na masuala ya dini ni mabo binafsi. Ukitoa mifano ya Kenya na Uganda unakosea na hata mifano ya Wajerumani na Waingereza pia una kosea sana wote hao wana maana zao kuingiza mahama hiyo kwenye katiba zao. Kenya na Uganda idadi ya waisilamu ni ndogo kiasi kwamba serikali iliamua kuwapendelea minority kwaajiri ya kubalance vitu katika mfumo wa serikali zao. Wakoloni wao wali ruhusu vitu hivi kama njia ya kutugawa ili watutawale vizuri, maana sio mahakama ya kadhi tu zilizo ruhusiwa waliruhusu makabila kuwa mahakama zao chini ya machifu wao yote hii ili watugawe waweze kututawala vizuri. Kwa hapa kwetu inahitajika busara ya hali ya juu sana kuelewa hili ili umoja wa kitaifa udumishwe.

Wakristo kupewa ruzuku kama ni kweli huo ni ukiukwaji mkubwa wa matumizi ya kodi zetu nakushauri kufuatilia ili kujua ukweli wa hili. Kwani kuna utaratibu wa misamaha ya kodi kwa taasisi za kidini kama ni hilo basi si kwa wakristo pekeyao ni kwa madhehebu yote.
kama kenya na uganda wana mahkama ya kadhi kwa 7bu waislam ni kidogo huko. Vipi kuhusu zanzibar ambako waislam ni wengi na pia wana mahkama ya kadhi? Toa hoja usitoe povu.
 
Kamakabuzi

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2007
Messages
1,534
Likes
98
Points
145
Kamakabuzi

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2007
1,534 98 145
Ndugu Mwobho umeeleza vizuri ruzuku inayotolewa kwa taasisi za kikristo ni kwa ajili ya nini. Nanukuu "kanisa kupewa zaidi ya bilioni 164 kwa kila mwaka kwaajili ya kuendeshea taasisi zao za shule na hospital" Je katika shule hizo wanasoma wakristo peke yao? Je katika hizo hospitali wanatibiwa wakristo peke yao? Shule na hospitali zinapewa ruzuku kama zinavyopewa hata zile zinazomilikiwa na dini ya kiislamu ambazo zinahudumia jamii yote bila ubaguzi wa imani. Ebu kumbuka serikali ilivyotoa majengo kuanzisha chuo kikuu huko morogoro. Tofautisha na suala la kadhi ambalo ni kwa waslamu tu.
 
Lu-ma-ga

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Messages
3,270
Likes
800
Points
280
Lu-ma-ga

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2010
3,270 800 280
Toeni ----- hapa mambo kaisali mpeni kaisali ya mungu muachieni mungu.NO UDINI KTK KATIBA MTASUBIRI SANA, hAYA MAMBO TUMEYAJADILI TANGU MWAKA JUZI kwa hot discussion bado hamjaelewa tu.rasimu hiyo imetoka no udini bado hamjaelewa.ridicurous!!!!!!!
 
Bahati furaha

Bahati furaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2012
Messages
2,875
Likes
1,031
Points
280
Bahati furaha

Bahati furaha

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2012
2,875 1,031 280
Mahakama ya kadhi ni jambo la kidini na linahusu waislamu pekee! Mahakama hii yaweza kuendeshwa na waislamu wenyewe na kwa pesa yao. Siyo mfumo rasmi wa kiserikali. hakuna hakimu anayesomeshwa na serikali akaja kuwa hakimu wa kikadhi.

Waislamu ni watu wenye miiko na mambo ya nguruwe. kodi za serikali pia zatokana na kodi za biashara ya nguruwe. Je, ni halali muislamu kulipwa mishahara itokanayo na pesa ya kodi ya nguruwe na pombe??

Waislamu na utajiri walionao wameshindwa kuendesha mahakama ya kadhi kweli au ni namna na kutaka kutambua uislamu ndani ya katiba ya nchi kama taasisi muhimu katika nchi hii??!!
Umetoroka Mirembe karibuni?
Barabara nazo ziwepo za Waislam 7bu zilizopo zinajengwa kwa kodi za nguruwe na pombe?
 
F

fredrickshango

Member
Joined
Jun 3, 2009
Messages
12
Likes
0
Points
0
F

fredrickshango

Member
Joined Jun 3, 2009
12 0 0
Ni aibu ndg zangu Waislamu kung'ang'ania mahakama ya kadhi kuingia kwenye katiba na kutambuliwa na serikali. Kuna wanachokitafuta hawataki kukisema. Sio bure ila Nionalo n aibu.
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
46,221
Likes
33,380
Points
280
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
46,221 33,380 280
kina nape ndio waliipinga
 
B

BADO MMOJA

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2012
Messages
1,871
Likes
766
Points
280
Age
97
B

BADO MMOJA

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2012
1,871 766 280
kama kenya na uganda wana mahkama ya kadhi kwa 7bu waislam ni kidogo huko. Vipi kuhusu zanzibar ambako waislam ni wengi na pia wana mahkama ya kadhi? Toa hoja usitoe povu.
SAUDIA, IRAN NA KWINGINEKO UKIIBA UNAKATWA MKONO MBONA HUJASEMA TUIGE MFANO WAO? NA UINGEREZA WAZIRI MKUU LAZIMA AWE MUANGLIKANA MBONA HUJASEMA NA HUKU IWE HIVYO NIMEKUELEZA HAYO ILI UTAMBUE NA KISHA UINGIZE KWENYE UBONGO WAKO KWAMBA KILA NCHI INA UTARATIBU WAKE HIYO HADITHI YA KADHI KAMWE MPAKA UNAPUMZIKA KWA AMANI HAITAINGIA KWENYE KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ILA KWA KUKURIDHISHA UTAAMBIWA MCHAKATO UNAENDELEA ILA UKWELI NDIYO HUO DINI HAIWEZI KUINGIZWA KWENYE KATIBA SAHAU KABISA KAMA ULIVYOSAHAU ZIWA LA MAMA.
 
Ndalilo

Ndalilo

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Messages
953
Likes
1,584
Points
180
Ndalilo

Ndalilo

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2013
953 1,584 180
Mi naona kama kuna "hidden agenda" nyuma ya hili suala. Kama kuna nyumba mnazotumia kuabudu, mna uhuru wa kuabudu, mna uhuru wa kuoana kwa mujibu na taratibu za imani yenu, mnagharamia mashindano mbali mbali ya kuhifadhi maandiko ya dini yenu kichwani, mna baraza linalotambulika na kusikilizwa na wote nchini, kwanini;

1. Msiendelee na mahakama kwa gharama zenu ili pengine, baadae watu wakiona manufaa waiombe serikali kuwapa sapoti?

2. Kipi ni muhimu kwenu, mahakama ya kadhi au dini yenyewe? Ombeni basi ule msingi wa imani yenu hasa uwepo kwenye katiba

3. Ikiwa tu mambo si mabaya sana kiimani kule visiwani, mnawatenda tofauti wasio wa imani yenu, vipi mkijua serikali iko nyuma yenu?

Maswali ni mengi mno, mna mengi mno ya kudai kama sababu zenu ndo zile zile zilizotajwa.

Kila imani isimamie mambo ya imani yake bila kubughudhi imani ya kundi jingine, serikali iachwe na shughuli zile za kiserikali tuuu!
 

Forum statistics

Threads 1,274,218
Members 490,631
Posts 30,505,044