Rasimu: Mbona sioni kifungu Mshirika 1 akiamua KUJITOA kwenye Shirikisho la Muungano, Nisaidieni.,

mrelbattawy

JF-Expert Member
Mar 25, 2013
564
112
Ndugu wanajamvi nimeipitia Rasimu hii karibu kurasa zote sioni kifungu wala ibara ya inayomruhusu mshirika wa JMT kujitoa kwenye muungano iwapo ataamua kujitoa kwa sababu zao?

Nisaidieni ndugu.,
 
Mkuu icho kipengele huwez kiona mana Afroshiraz hawataki wanataka muungano udumu ili waendelee kuinyonya zanzibar, wakinufaika wao binafsi
 
Ndugu wanajamvi nimeipitia Rasimu hii karibu kurasa zote sioni kifungu wala ibara ya inayomruhusu mshirika wa JMT kujitoa kwenye muungano iwapo ataamua kujitoa kwa sababu zao?

Nisaidieni ndugu.,

kuku.jpg

Hata mimi sijaona hili..tena nataka liwe jambo la muungano!
 
Kwenye rasimu hii bado mambo yatazuka mengi baada na mizozo itaendelea, mimi nadhani hatuna utaalamu wa haya mambo ya seikali3,Mkataba, au 2, hata moja.

Tunahitaji tutafute msaada kutoka nje ili tuepushe majanga zaid hapo baadae
 
Kaka wameondoa kipengele hicho kwa makusudi kozi serikali 3 uraia ni mmoja tu sasa huwezi kuikana Tanzania na kuichagua Zanzibar au Tanganyika sooo shilikisho lidumu
 
Back
Top Bottom