Rasimu imejaa ubaguzi mtupu mtaipinga popote pale

aminangalo

JF-Expert Member
Aug 31, 2013
974
0
Hii Rasimu ya katiba imejaa ubaguzi kwanini mtu wa darasa la saba asigombee ubunge

Warioba kama jaji unasimamiaje maamuzi ya kubagua watu ubunge nikazi ya kisiasa haihitaji taaluma

Tuungane wote kukataa hii Rasimu ikipita maana yake sina ubunge mimi nasijui nani atawasemea wananchi wa Tz zaidi yangu mzalendo mm
 
Gefu

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
6,944
1,500
...mbona wakati darasa la saba wanaruhusiwa hukuwatetea wasaofika darasa la saba,uzalendo wako upo kwenye nini... ?
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
36,225
2,000
Kasome wewe kuna short course za two in one ndani ya miaka mi2 au 1.5 unacheti chako cha form Iv,nakubaliana na warioba darasa la 7 hatuwataki kuwa wabunge ndio hao wanaosign vitu wasivyovijua maana kingereza kitupu,wakienda nje ya nchi kwenye kamati hawachangii kitu mbele ya wazungu maana ngeli hamna kitu lakin form iv cha kuombea maji anakielewa!
 
amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,463
0
Hii Rasimu ya katiba imejaa ubaguzi kwanini mtu wa darasa la saba asigombee ubunge

Warioba kama jaji unasimamiaje maamuzi ya kubagua watu ubunge nikazi ya kisiasa haihitaji taaluma

Tuungane wote kukataa hii Rasimu ikipita maana yake sina ubunge mimi nasijui nani atawasemea wananchi wa Tz zaidi yangu mzalendo mm
Kwani darasa la saba ni shule gani? Mwenye ufahamu anijuze.
 
kabanga

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
36,740
2,000
wale walio somasoma wengi vichwa maji, sasa Angela hao stud 7 itakuwaje ....
 
mrelbattawy

JF-Expert Member
Mar 25, 2013
564
195
Kasome wewe kuna short course za two in one ndani ya miaka mi2 au 1.5 unacheti chako cha form Iv,nakubaliana na warioba darasa la 7 hatuwataki kuwa wabunge ndio hao wanaosign vitu wasivyovijua maana kingereza kitupu,wakienda nje ya nchi kwenye kamati hawachangii kitu mbele ya wazungu maana ngeli hamna kitu lakin form iv cha kuombea maji anakielewa!

Hajakosea kuna watu wana darasa la 7 au chini ya hapo lakini katika fani za kisiasa wana hoja nzuri sana za kuweza kuchangia na kutetea hoja zao., tunao hawo watu katika jamii zetu za Tz ambao by nature wana personality hiyo wapewe nafasi wakatuwakilishe jamani si kama baadhi ya wabunge mule bungeni kazi ni ndiooo tuu.,
 
Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,214
2,000
Hii Rasimu ya katiba imejaa ubaguzi kwanini mtu wa darasa la saba asigombee ubunge

Warioba kama jaji unasimamiaje maamuzi ya kubagua watu ubunge nikazi ya kisiasa haihitaji taaluma

Tuungane wote kukataa hii Rasimu ikipita maana yake sina ubunge mimi nasijui nani atawasemea wananchi wa Tz zaidi yangu mzalendo mm
Kwa usawa huo huo unaodai, kama wewe ni darasa la saba unaweza kudai urubani wa ndege.
Jaribu unaweza kufanikiwa!
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
8,257
2,000
ubunge sio kazi ya taaluma ni ubaguzi ambao unafanana na ule unaompinga mtu asigombee kwa sababu hana chama kila mtu ana haki ya kugombea na kuchagua kiongozi hata mimi nitaipinga hao tunaowaita wasomi ndio wamesaini mikataba mibovu kuliko yote iliyowahi kutokea
 
mwaikenda

JF-Expert Member
Mar 26, 2011
903
0
Hii Rasimu ya katiba imejaa ubaguzi kwanini mtu wa darasa la saba asigombee ubunge

Warioba kama jaji unasimamiaje maamuzi ya kubagua watu ubunge nikazi ya kisiasa haihitaji taaluma

Tuungane wote kukataa hii Rasimu ikipita maana yake sina ubunge mimi nasijui nani atawasemea wananchi wa Tz zaidi yangu mzalendo mm

Rudi Shule wewe acha kulalamika Rasimu inakusaidia wew uelimike.
 
kitundu

Member
May 28, 2011
63
125
Hii Rasimu ya katiba imejaa ubaguzi kwanini mtu wa darasa la saba asigombee ubunge

Warioba kama jaji unasimamiaje maamuzi ya kubagua watu ubunge nikazi ya kisiasa haihitaji taaluma

Tuungane wote kukataa hii Rasimu ikipita maana yake sina ubunge mimi nasijui nani atawasemea wananchi wa Tz zaidi yangu mzalendo mm

Bila shaka anahimiza matumizi ya sekondari za kata!!! Ni bei chee tuu
 
Head teacher

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
1,801
0
ubunge sio kazi ya taaluma ni ubaguzi ambao unafanana na ule unaompinga mtu asigombee kwa sababu hana chama kila mtu ana haki ya kugombea na kuchagua kiongozi hata mimi nitaipinga hao tunaowaita wasomi ndio wamesaini mikataba mibovu kuliko yote iliyowahi kutokea

Mwenye haki ya kuchagua awe na haki ya kuchaguliwa.mbona kuna maprofesa bungeni wengine mawaziri lakini mizigo.
 
Mkiliman

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
979
500
Hajakosea kuna watu wana darasa la 7 au chini ya hapo lakini katika fani za kisiasa wana hoja nzuri sana za kuweza kuchangia na kutetea hoja zao., tunao hawo watu katika jamii zetu za Tz ambao by nature wana personality hiyo wapewe nafasi wakatuwakilishe jamani si kama baadhi ya wabunge mule bungeni kazi ni ndiooo tuu.,

Mkuu, tunaomba mfano halisi wa Mbunge, at least one or two names, wa JMT ambaye ni std 7 lkn yupo smart as you try to describe them, pls.....!!
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
8,257
2,000
naomba mtu anieleze wapi wanasomea ubunge kama hamuwataki darasa la saba wasigombee hata kodi zao ambazo zinawafanya wabunge walipane posho kubwa wasizichukue leo hii matokeo ya darasa la saba yametoka tunaambiwa kuna watu wamekosa nafasi kutokana na uhaba wa nafasi kidato cha kwanza ingawa wamefaulu kwa hiyo sio wote wanaokosa nafasi ya kuendelea hawana uwezo tatizo la watu waliokuwepo kwenye tume ya katiba walijiona kama wateule wa mungu wakafikiri kila kitu walichoamua wao ni sahihi huyo Bakhresa ambaye leo mnamsifia manfahamu elimu yake lakini ameweza kufanya mambo makubwa kushinda hao wanaojiona wasomi kwa msomi aliyeelimika hawezi kuleta hoja ya kipuuzi kama hiyo
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
8,257
2,000
naomba mtu anieleze wapi wanasomea ubunge kama hamuwataki darasa la saba wasigombee hata kodi zao ambazo zinawafanya wabunge walipane posho kubwa wasizichukue leo hii matokeo ya darasa la saba yametoka tunaambiwa kuna watu wamekosa nafasi kutokana na uhaba wa nafasi kidato cha kwanza ingawa wamefaulu kwa hiyo sio wote wanaokosa nafasi ya kuendelea hawana uwezo tatizo la watu waliokuwepo kwenye tume ya katiba walijiona kama wateule wa mungu wakafikiri kila kitu walichoamua wao ni sahihi huyo Bakhresa ambaye leo mnamsifia mnafahamu elimu yake lakini ameweza kufanya mambo makubwa kushinda hao wanaojiona wasomi kwa msomi aliyeelimika hawezi kuleta hoja ya kipuuzi kama hiyo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom