Uchaguzi 2020 Rashidi Gwajima akiwa katika sherehe za Maulidi

kukatwa kupo kote duniani sio Tanzania tu hata nchi zilizoendelea kabisa it’s normal ila kuna sababu za kimaadili ya mgombea, misimamo yake kama inakinzana na mlengo wa chama; etc.
Enheee, sawa, kukatwa kupo duniani kote.

tutajie mtu mmoja duniani huko ambae alikatwa baada ya kushinda kura ndani ya chama.
 
Hahaha kwa ujinga huu kweli wapo wajinga watampigia kura.

Unaona kilicho wazi ni kutumika kwa waislam.

Nataka nimuone na kanisa katoliki akiomba kura sasa, mkipata clip akiwa kanisa katoliki anaomba kura, nitaamini serikali imejiingiza hadi kwenye dini zetu.
 
Gwajima anajisumbua bure lazima atashinda jimbo la kawe kila mtu kamchoka Mdee sema tu watu Kawe hawaipendi CCM ni wakati sasa wa kujaribu mtu mwingine miaka 10 Mdee inamtosha hana jipya.
 
Kipindi hiki cha kampeni kasahau Dini yake anazunguka na mchepuko mmoja unaitwa Jema namba zake hizi hapa 0787386455 ni kampeni Sectary wake na pia ni mchepuko wake , Gwajima si mwaminifu kwa Ndoa yake hafai kuwa Asikofu wala mbunge, chadema na Halima mdee mpigieni simu huyo dada mwambieni kuwa Gwajima hawezi kuwa mbunge asipoteze mda wake bure
Mke wake amefanana sana na Dr. Shika.
 
Back
Top Bottom