Rashid Hamad, Maalim Seif humuwezi weye alimushindwa Nyerere wewe utaweza, kaombe radhi

Kibanikolo

Member
Aug 12, 2011
28
0
Hamaad Rashid tutakukosa sana mbungeni hasa kwa busara zako.CUF ndio iliyokupeleka Mbungeni na sio mahakama kaombe Radhi urudi mbungeni namini Maalimu Sefu wewe humwezi hata kidodgo ,kwa vile yeye ni maalimu atakusamehe
 
Hii heading sijaielewa kabisa.
Kusoma topic yenyewe ndo kabisa.
Nadhani mwanzisha mada aliikuwa anamtumia sms Hamad sasa kajichanganya kairusha humu.
 
Hamaad Rashid tutakukosa sana mbungeni hasa kwa busara zako.CUF ndio iliyokupeleka Mbungeni na sio mahakama kaombe Radhi urudi mbungeni namini Maalimu Sefu wewe humwezi hata kidodgo ,kwa vile yeye ni maalimu atakusamehe

ULIPO AMKA LEO ASUBUHI,ULIKUMBUKA KWENDA UANI?Mkojo utakuwa unakuwasha,nenda uani,alafu ukirudi uje usome hii post yako,hautaamini pumba ulizo andika!!!
 
Hamaad Rashid tutakukosa sana mbungeni hasa kwa busara zako.CUF ndio iliyokupeleka Mbungeni na sio mahakama kaombe Radhi urudi mbungeni namini Maalimu Sefu wewe humwezi hata kidodgo ,kwa vile yeye ni maalimu atakusamehe
Kama ulienda shule basi walimu wako walipoteza muda kukufundisha. Mungu akusamehe maana unatia aibu,kwa ufupi umeandika upupu ambao hata mtoto wa chekechea hawezi kuandika hivyo!
 
Topic yako hjaiweka vizuri lakini ni kweli jamaa akaombe msamaha ili mungu amuhurumie ,pia jamaa anapenda madalaka niliona wakati chadema wanaongoza bunge upande wa wapinzani eti na wao wakawa kambi isiyo rasmi ya upinzani
 
Back
Top Bottom