Rapper Witness: Nimechora tatoo kiunoni ili nisichepuke

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,510
28,416
13722181_860610067372433_306059201_n.jpg


Mwanamuziki wa muziki wa kufoka foka nchini Tanzania, Witness, a.k.a Witness kibonge Mwepesi, ameelezea sababu ya kuchora tattoo yenye jina la mpenzi wake wa sasa Ochu Sheggy katika kiuno chake.

Akizungumza ndani ya eNewz amesema “Ukiweka tattoo sehemu niliyoweka mimi inazuia hata unapotaka kumsaliti mwenza wako yule unayekuwa naye ina kunyima hamu kabisa na anashindwa hata kukutamani tena”.

Pia aliendelea kusema kuwa watu wanadhani kuwa kuolewa ndiyo kumaliza kila kitu lakini kwa sehemu ambayo mapenzi yao yamefikia hakuna kitu ambacho anakihitaji tena kwa kuwa mapenzi ni kuungana mkono na Ochu anamsaidia katika kila kitu ninachofanya.

1471929498148-jpg.386041
 
Najiuliza hili swali sipati jibu kamili wanachoongea wabongo. ... kimombo au kiswahili.....
Tuongee basi kichina kizidi pata jina.........

Wabongo tunaongea SwaNglish
Hahhahahaaaa Kasie tunaongea Google translate
 
Back
Top Bottom