Rapa mwenye gubu na lugha ya matusi, 50 Cents kuchoma T-shirt za brand za Gucci

2013

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
11,358
6,059
Curtis Jackson ameendelea na bifu lake na Floyd Mayether kwa kuchoma vazi la GuCci Kama njia ya kuhamasisha kupinga ubaguzi wa wazungu. Hatua hiyo ilitokana na Kampuni ya Gucci kutengeneza Nguo aina ya poloneki Nyeusi na migomo myekundu inayohusishwa kumdhalilisha Mtu mweusi. Ikiwemo viatu vya Katty Perry nywenye kinyago cheusi.

Viatu hivyo viliondolewa kwenye soko baada ya kadhia hiyo. Rapa 50Cents ameendelea kuonyesha chuki zake kwa bondia mwenye mafanikio Floyd Mayether kwa kutetea mavazi hayo. Floyd ameeleza uwepo wa double standard, kwakua muziki wa rapu unavyohamasisha Vurugu, madawa ya kulevya, mauaji na ngono na kuharibu jamii ya watu weusi(Black community).

Ambapo ulipaswa nao kususiwa na record lebel zote pamoja bidhaa zote zinazomilikiwa na Kering ikiwemo Gucci, balensiaga,Asl mc Queen nk. Amegusia jinsi wasanii (Akimlenga 50cents) waliokwisha poteza kipaji Chao wanavyojaribu kutafuta namna ya kurudi kupitia kutengeneza migomo ya mavazi ya Gucci lakini wao wamekua waharibifu wa jamii ya watu weusi na sasa wamekua ni advocate wa kutengeneza migomo.

Pia Floyd ameeleza namna alivyoona msapoti Mtu mweusi Dapperdan aliyeingizwa kwenye la lebel ya Gucci kutengeneza mavazi hayo ya watu wa Hali ya juu duniani.

Floyd hakusita kujivunia rekodi yake ya mtindo wale wa Maisha Kama Bondia Tajiri a mstaafu anayehamasisha social Drugs and Alcohol free life style.
 
Curtis Jackson ameendelea na bifu lake na Floyd Mayether kwa kuchoma vazi la GuCci Kama njia ya kuhamasisha kupinga ubaguzi wa wazungu. Hatua hiyo ilitokana na Kampuni ya Gucci kutengeneza Nguo aina ya poloneki Nyeusi na migomo myekundu inayohusishwa kumdhalilisha Mtu mweusi.
Kapicha tafadhali
 
Back
Top Bottom