Rapa mwenye gubu na lugha ya matusi 50 Cents kuchoma T-shirt za brand maarufu na ya gharama kubwa ya Gucci

2013

JF-Expert Member
Jan 1, 2013
11,332
2,000
Curtis Jackson ameendelea na bifu lake na Floyd Mayether kwa kuchoma vazi la GuCci Kama njia ya kuhamasisha kupinga ubaguzi wa wazungu. Hatua hiyo ilitokana na Kampuni ya Gucci kutengeneza Nguo aina ya poloneki Nyeusi na migomo myekundu inayohusishwa kumdhalilisha Mtu mweusi. Ikiwemo viatu vya Katty Perry nywenye kinyago cheusi. Viatu hivyo viliondolewa kwenye soko baada ya kadhia hiyo. Rapa 50Cents ameendelea kuonyesha chuki zake kwa bondia mwenye mafanikio Floyd Mayether kwa kutetea mavazi hayo. Floyd ameeleza uwepo wa double standard, kwakua muziki wa rapu unavyohamasisha Vurugu, madawa ya kulevya, mauaji na ngono na kuharibu jamii ya watu weusi(Black community). Ambapo ulipaswa nao kususiwa na record lebel zote pamoja bidhaa zote zinazomilikiwa na Kering ikiwemo Gucci, balensiaga,Asl mc Queen nk. Amegusia jinsi wasanii (Akimlenga 50cents) waliokwisha poteza kipaji Chao wanavyojaribu kutafuta namna ya kurudi kupitia kutengeneza migomo ya mavazi ya Gucci lakini wao wamekua waharibifu wa jamii ya watu weusi na sasa wamekua ni advocate wa kutengeneza migomo.
Pia Floyd ameeleza namna alivyoona msapoti Mtu mweusi Dapperdan aliyeingizwa kwenye la lebel ya Gucci kutengeneza mavazi hayo ya watu wa Hali ya juu duniani.

Floyd hakusita kujivunia rekodi yake ya mtindo wale wa Maisha Kama Bondia Tajiri a mstaafu anayehamasisha social Drugs and Alcohol free life style.
 
Kaburiwazi

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
247
250

Kapicha tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom