Rapa Chemical : "Sijawahi kuguswa na mwanaume yeyote" Adai yeye ni Bikra

Mimi nilidhan amesema huo wimbo wake umemwingizia mamilioni ya pesa. Yaani mtu upo kwenye TV unatangaza wewe ni bikira? Upuuzi kabisa huu kwani bikira itampa ugali?
 
Mimi nilidhan amesema huo wimbo wake umemwingizia mamilioni ya pesa. Yaani mtu upo kwenye TV unatangaza wewe ni bikira? Upuuzi kabisa huu kwani bikira itampa ugali?
Ukiangalia kwa jicho la tatu ndio utajua kwanini wasanii wengi wa bongo hawaendelei sababu ni kutokutenganisha Maisha binafsi na muziki
 
  • Thanks
Reactions: mij
Msanii wa kizazi kipya anaepeperusha bendera ya
Tanzania kwa kupitia songi lake jipya linalokwenda kwa
jina la “I’M SORRY MAMA” mwanadada Chemical,
amesema yeye ni bikira(hakuwahi kujigi jigi tangu
azaliwe).
View attachment 433654
Chemical ameongea hayo wakati akihojiwa katika
kipindi cha D’WIKEND CHATSHOW kinachorushwa
kupitia clouds tv. Chemical ameongeza, licha ya kuwa
bikira hajawahi kujihusisha na mapenzi ya jinsia
moja(ulesbian).
View attachment 433655
Vilevile ameongezea, yeye hana gharama kabisa,
kwasababu hatumii mavitu ya gharama kama wadada
wa mjini(hapaki miwanja, haweki manywele ya bandia,
na makororo mingine ya thamani) ambayo wadada wa
mjini wamekuwa wakitumia
Ni kweli maana sura kama Avatar yangu,sura ka uji wa lishe,lazma umfunike gunia ukihitaji kupiga pushup!
 
Hakuna Bikira ukishakuwa na umri huo. Sema hajakutana na mwanaume lakini haina maana ya kuwa yeye ni bikira
 
Na ndo maana mimi nasemaga "virginity is lack of opportunity" kama huyu uwezi kuniambia kua lajitunza... kakisa wakumwomba mchezo, na saiv ashaonekata kwny kideo lazima wamtufue
Ebw eeh, unesema ukweli kabisa.
Kwanza kujitangaza namna hiyo, yaweza kuwa tunavyoandika hapa mtu keshaliwa.
Ama yaweza kuwa ni kiki ya kuhangaisha vichwa vya wanaume.
Kwasababu wanaume wametofautiana hobi. Mwingine kazi yake ni kufuatilia madem wa kwenye mitandao, awe mtanfazaji,sijui msanii na kuhakikisha anampata kwa gharama yoyote ile.
Sasa na huyu, keshajiweka peupe habakishwi salama.
 
Aisee. Yaani ungeweka hizi picha halafu useme watu tubeti kama ni mwanamke au mwanaume mi ningebeti hata nyumba ya urithi nikishadadia kuwa ni mwanaume. Sishangai kwamba bado angali bikra!
Mkuu ni mavazi tu.
Akipiga vitenge ama khanga, yaani avae kike kabisa, lazima atabadilika, sura ya kulumangila itakuja, ingawa siyo kwa asilimia zote.
 
Kitu cha ajabu ni kipi? . Wanaume kwa kupenda sifa wangejitokeza tena haraka sana kuthibitisha wamefungua mlango.
 
Ebw eeh, unesema ukweli kabisa.
Kwanza kujitangaza namna hiyo, yaweza kuwa tunavyoandika hapa mtu keshaliwa.
Ama yaweza kuwa ni kiki ya kuhangaisha vichwa vya wanaume.
Kwasababu wanaume wametofautiana hobi. Mwingine kazi yake ni kufuatilia madem wa kwenye mitandao, awe mtanfazaji,sijui msanii na kuhakikisha anampata kwa gharama yoyote ile.
Sasa na huyu, keshajiweka peupe habakishwi salama.

Kabisa mkuu... kama yule demu kwenye tangazo la "SIDANGANYIKI" si alipigwa mimba na ladha ya tangazo likapoteaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom