Rapa aanika nyeti zake Instagram Live bila chenga

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,251
rapa.jpg

Kumekuwa na hisia katika vyombo vya habari vya Afrika Kusini baada ya mwanamuziki mmoja wa taifa hilo Emtee kwa bahati mbaya kuonyesha uume wake katika mtandao wa Instagram Live.

Chombo cha habari cha Times Lives kinasema kuwa rapa huyo ambaye jina lake kamili ni Mthembeni Ndevu hakukubali kudhalilika na kitendo hicho baada ya picha hizo zilizoonyesha sehemu yake nyeti kusambazwa.

Huku mtandao wa burudani wa Zalebs ukisema kuwa watu wamekuwa wakichochea hali hiyo kwa kutumia alama ya reli [HASHTAG]#emteechallenge[/HASHTAG].

Mtandao huo unasema kuwa hatua hiyo ni nzuri kwa msani huyo.

''Unajua kwamba umefanya makosa na kupewa changomoto'', unaelezea.

Emtee aliambia Times Lives:Nilikuwa chooni nikijibu maswali ya mashabiki moja kwa moja.Nilitaka kujisaidia haja ndogo lakini bila kufikiria nikatumia mkono huohuo niliokuwa nikishikilia simu yangu wakati nilipokuwa nikiendelea na haja ndogo na kutumia mkono huohuo kupiga picha.Sikufikiria kuhusu kilichofanyika hadi nilipogundua kwamba kile nilichofanya na nikaomba msamaha.

Chanzo: BBC Swahili
 
Duuh namwelewaga na ngoma yake ya roll up aliyomshirikisha wizkid na ile nyingine ya we're up...
 
Rapa Emtee bsasa hvie kapotea kimuziki dogo nasty c kaja juzi kampita kila kitu sasa hvie anatafta pakutokea ataulize pu***m ajipange nasty c mtoto wa kwazul natal hatak masiara emtee sasa hvie atulize ball tu kiukweli
 
Kumekuwa na hisia katika vyombo vya habari vya Afrika Kusini baada ya mwanamuziki mmoja wa taifa hilo Emtee kwa bahati mbaya kuonyesha uume wake katika mtandao wa Instagram Live. Lakini kitu cha ajabu mara tu baada ya dushe hilo kuonekana,nusu saa baadae alipata followers 300,000 wa kike instagram.

Chombo cha habari cha Times Lives kinasema kuwa rapa huyo ambaye jina lake kamili ni Mthembeni Ndevu hakukubali kudhalilika na kitendo hicho baada ya picha hizo zilizoonyesha sehemu yake nyeti kusambazwa.

Huku mtandao wa burudani wa Zalebs ukisema kuwa watu wamekuwa wakichochea hali hiyo kwa kutumia alama ya reli [HASHTAG]#emteechallenge[/HASHTAG].

Mtandao huo unasema kuwa hatua hiyo ni nzuri kwa msani huyo.

''Unajua kwamba umefanya makosa na kupewa changomoto'', unaelezea.

Emtee aliambia Times Lives:Nilikuwa chooni nikijibu maswali ya mashabiki moja kwa moja.Nilitaka kujisaidia haja ndogo lakini bila kufikiria nikatumia mkono huohuo niliokuwa nikishikilia simu yangu wakati nilipokuwa nikiendelea na haja ndogo na kutumia mkono huohuo kupiga picha.Sikufikiria kuhusu kilichofanyika hadi nilipogundua kwamba kile nilichofanya na nikaomba msamaha
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom