Mwana-G
Member
- Jan 9, 2016
- 45
- 15
Nataman kuona rangi halisi za wabunge. Namuomba Zitto apeleke hoja binafsi bungeni kuomba kufutiwa posho na kupunguziwa Mishahara ya wabunge na wakati huo bunge lirushwe live TBC.
Kitakachotokea ni hiki endapo hoja ikipingwa.
1. Wabunge maarufu katka uchangiaji na kuomba miongozo hawatachangia kitu,
2. Hakutakuwa na kutoka nje ya bunge
3. Hakutakuwa na upigaji kelele wala zomea zomea wabunge wote watakua wamoja kum attack mtoa hoja.
4. Zitto ataongezewa majina mabaya maradufu
5. Wengi watatamani Tbc ipate hitilafu.