Rangi za Uongozi wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM-CWT?

Gembe

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
2,483
159
uongozi wa juu wa CWT
  1. Sophia Simba-Mwenyekiti
  2. Asha Bakari- Makamu Mwenyekiti
  3. Husna-Katibu ambaye mama Simba Hamtaki

wajumbe wa kamati kuu ya Jumuia ya wanawake wa CCM
  1. Shamsa Mwangunga
  2. Hawa Ghasia
  3. Zainabu Mwamwindi
  4. Furahia Abdallah
  5. Fatuma Tawafiq
  6. Lucy Mayenga
  7. Lediana Mng’ong’o
  8. Subira Mohamed
  9. Zainabu Shomari.



    Hiyo nidyo safu kuu..Sipendi kuwa mnafiki,mbona imejaa watu wa alama nyekundu?
 
Kwani wameteuliwa au kuchaguliwa? Kama wamechaguliwa basi hivyo ndivyo demokrasi inavyoenda. Wapiga kura wamezungumza.
Amandla......
 
Fundi mchundo hilo ndilo swala ambalo nataka kujua ..

ilikuwaje ikatokea hivi..Je ni historia kama apendavyo kuhoji mwanakijiji ama wameteuliwa au kuchaguliwa

wanawake wa kiswahili wakikaa sehemu moja lazima matatizo yatokee coz wanawake wameumbwa umbea
 
Mkuu Gembe. tatizo la demokrasia ya kwetu ni kwamba tunachaguliwa wa kumpigia kura! Usanii unaanza kwenye hivyo vikamati vya kupitisha wagombeaji!

Amandla......
 
Mkuu Gembe! Uislamu na uswahili wapi na wapi? Mimi naona majina ambayo yanaashiria kuwa wahusika kuwa ni waislamu lakini sidhani kuwa ni lazima wawe hao tunaowaita waswahili! Upareni waislamu kibao. Sikubaliani nawe kuwa wanawake wameumbwa umbea maana nawajua wanaume wengi ambao ni wambea wa kukubuhu!

Amandla.....
 
nijuacho mimi Sophia Simba aliwaambia Wajumbe walio mchagua kutoka UWT-CCM , kuwa alitumwa na Kikwete kugombea, na Ikulu ama Kikwete mwenyewe hakuwahi kukanusha habari hizo, kwahiyo taarifa kuwa yeye ni chaguo la Ikulu inabaki ikiwa imesimama.
kwa hiyo siajabu hao wote ni chaguo la Kikwete.
 
Mnaisahau historia. Hata TAA halafu TANU na baadaye CCM ilianzishwa na "waswahili" wengi tu.
 
uongozi wa juu wa CWT
  1. Sophia Simba-Mwenyekiti
  2. Asha Bakari- Makamu Mwenyekiti
  3. Husna-Katibu ambaye mama Simba Hamtaki
wajumbe wa kamati kuu ya Jumuia ya wanawake wa CCM

  1. Shamsa Mwangunga
  2. Hawa Ghasia
  3. Zainabu Mwamwindi
  4. Furahia Abdallah
  5. Fatuma Tawafiq
  6. Lucy Mayenga
  7. Lediana Mng’ong’o
  8. Subira Mohamed
  9. Zainabu Shomari.




  1. Hiyo nidyo safu kuu..Sipendi kuwa mnafiki,mbona imejaa watu wa alama nyekundu?

kwa sababu ni chama cha wenye rangi hizo, hata mwenyekiti wao, katibu etc etc hata kada wao mkuu RA.
wenye rangi zingine undeni kingine.

Damn them!!!!! I mean rangi nyekundu, no wonder nchi has no direction.
 
kwa sababu ni chama cha wenye rangi hizo, hata mwenyekiti wao, katibu etc etc hata kada wao mkuu RA.
wenye rangi zingine undeni kingine.

Damn them!!!!! I mean rangi nyekundu, no wonder nchi has no direction.
Lakini Sophia Simba sio Mwislamu!
 
walioleta mjadala huu wana yao

tatizo pale waislam wanapokuwa wengi tu kwenye taasisi au jambo lkn hawa wengine kawao ni saw

huuu ni upuuuzi ulaaniwe
 
uongozi wa juu wa CWT
  1. Sophia Simba-Mwenyekiti
  2. Asha Bakari- Makamu Mwenyekiti
  3. Husna-Katibu ambaye mama Simba Hamtaki
wajumbe wa kamati kuu ya Jumuia ya wanawake wa CCM

  1. Shamsa Mwangunga
  2. Hawa Ghasia
  3. Zainabu Mwamwindi
  4. Furahia Abdallah
  5. Fatuma Tawafiq
  6. Lucy Mayenga
  7. Lediana Mng’ong’o
  8. Subira Mohamed
  9. Zainabu Shomari.




  1. Hiyo nidyo safu kuu..Sipendi kuwa mnafiki,mbona imejaa watu wa alama nyekundu?

UDINI utakumaliza wewe, ukiona waislamu roho inakuuma hadi unataka kufa pole sana jonyonge!
 
Unajua tatizo la st. school ni vyeti feki (nenda angalia wenye PhD feki Tanzania 99.9% wakristo) uwezo mdogo wa kufanya kazi.
 
Sophia Matayo Simba ni Mkristu tena huabudu madhehebu ya Wapentekoste. Acha udini wee!
 
Yaani zaidi ya 80% ya wajumbe ni dini moja makubwa GEMBE usitudanganye umekosea hao si wajumbe wa UWT-CCM taifa.
 
Unajua tatizo la st. school ni vyeti feki (nenda angalia wenye PhD feki Tanzania 99.9% wakristo) uwezo mdogo wa kufanya kazi.

Wivu tu unakumaliza kwa vile shule za st.... zinapiga fimbo madrassa kama wamesimama kwenye mitihani ya kitaifa. Kaangalie matokeo ya mtihani na ulinganishe kinondoni muslim (na ndugu zake) vs shule zinazoanzia St.... ndiyo ujue ukweli wa mambo
 
Back
Top Bottom