Rangi za kupaka kwenye Fenicha za mbao

MTU ALIYE NYIKANI

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
345
454
Msaada wadau, ninaomba kujua jina/aina (kind) ya rangi zinazofaa kupaka kwenye fenicha mbalimbali, hatua za kupaka rangi hizo (Mambo ya kuzingatia)
Pia ni wapi ninaweza kuzipata kwa DAR ES SALAAM sambamba na BEI zake.

Rangi niitakayo kwa sasa ni NYEUSI.
 
Uko wapi?
Mbao yako ni Aina gani?
Kama uko Dar nenda karibia na chuo kikuu huria muulizie hazard nenda na sample ya mbao yko
Lita 1 ni 12000

Ova
 
Rangi 2k black inategmea unataka Matt finish or gross finish. Dukani chukua complete na vichanganyio vyake i.e slow thinner , standard thinner na hardener.

Upakaji
Unaziba matundu ya screws/ misumari kwa vumbi la mbao au body filler. Then unapiga msasa namba 320/400 then unapuliza grey primer, mwisho unapuliza rangi yako.
 
Asante sana mwamba.
 
Gloss not gross.
 
Boss kama mbao yako ni Mvule/mkongo/mninga usihangaike kuupaka rangi utaharibu upige clear vanish utaukataa mwenyewe, kama unataka ung'ae upige trubo 2k

Nunua tina changanya na sanding sealer tumia ya kampuni ya coral paint, upige 3coats

Then pitisha clear/trubo 2k, 2 coats, mkataba
 
Msaada wadau, ninaomba kujua jina/aina (kind) ya rangi zinazofaa kupaka kwenye fenicha mbalimbali, hatua za kupaka rangi hizo (Mambo ya kuzingatia)
Pia ni wapi ninaweza kuzipata kwa DAR ES SALAAM sambamba na BEI zake.

Rangi niitakayo kwa sasa ni NYEUSI.
Hakuna Rangi Complete 1.
Kuna kuchanganya rangi, wauzaji wa rangi za fanicha wanajua.
Kama hujapata niPM
 
Back
Top Bottom