Rangi ya gegedo

mtzmweusi

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
8,592
8,874
Wana mmu hasa wale wa jinsia kama yangu ni nn huwa kinasababisha migegedo yetu inakuwa a rangi nyeusi zadi kuliko sehemu nyingine za mwili?
 
Hiyo migegedo inawakilisha rangi halisi ya mwafrika,mbo wazungu na watua wa asia hawana migegedo ya rangi nyeusi?
 
Elezeaaa bana unazungumzia jinsia ipii,weusi inategemeaa na mtu alivyoo,ila wengi wao weusi huku chin zaidi
 
Mie jinsia yangu ni mme,nazungumzia kwa manaume wa kiafrica hali hiyo inasababishwa na nn?
 
Elezeaaa bana unazungumzia jinsia ipii,weusi inategemeaa na mtu alivyoo,ila wengi wao weusi huku chin zaidi

nazungumzia wanaume wa kiafrika kwann zinakuwa nyeusi zaidi kuliko rangi ya sehemu zingine za mwili?
 
Back
Top Bottom