Rangi ya ch*pi

Watanzania tumefikia huku kweli? Badala ya kuwaza vitu vya maana tunaongelea rangi ya chupi!

Hoja za kujadiliwa zipo nyingi: Mtwara mambo bado mabichi, Elimu yetu inadidimia kila kukicha, Nani anang'oa watu kucha na meno, Tembo na twiga wanapanda ndege kwa passport toka wapi, Kwa nini watu wanapishana angani kama tai, Rasimu ya katiba, nk.
 
Yaani tutawaza tembo na mtwara kutwa kuchwa? Kha! Si tutashindwa kuleta hivyo vizazi vijavyo sasa? We are saving this beautiful for vizazi vijavyo sustainably. Meaning we have to live and enjoy as well.

Having said that, umevaa kyupi leo?
Cc Kongosho

Last edited by a moderator:

Ngoja niendelee kusoma rasimu ya Katiba huku jukwaa lingine, hoja nyingine hizi nitamfoadia nyumba ndogo atakujibu.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha, we are vere bize, akchwale hata wabunge wako bize wanasinzia

Ujue, kwa watu walio bize kama Bill Gate, huwa wanawaamuru wake zao 'rara nikurenge', hawana muda kwa kutafutiana apetaiti

Yaani tutawaza tembo na mtwara kutwa kuchwa? Kha! Si tutashindwa kuleta hivyo vizazi vijavyo sasa? We are saving this beautiful for vizazi vijavyo sustainably. Meaning we have to live and enjoy as well.

Having said that, umevaa kyupi leo?
Cc Kongosho
 
Hehehehe. Hata hiyo amri ya kurara urengwe mpaka ujilaze hapo mwenzio kama hajakoroma basi kakumbuka kitu. Huyoooo home office! Kha!

Ndo maana nyumba ndogo za kizaramo zina soko balaa.
Ha ha ha, we are vere bize, akchwale hata wabunge wako bize wanasinzia

Ujue, kwa watu walio bize kama Bill Gate, huwa wanawaamuru wake zao 'rara nikurenge', hawana muda kwa kutafutiana apetaiti
 
Teh teh
haya nasubiri jibu. Ambia ikuje na sample. Manake na ubusy huo nakupatia picha tu baba.

uploadfromtaptalk1370599627667.jpg
Ngoja niendelee kusoma rasimu ya Katiba huku jukwaa lingine, hoja nyingine hizi nitamfoadia nyumba ndogo atakujibu.
 
Hivi nyumba ndogo hazivai kyupi? Na zikivaa zinakuwa colourless? Au zenyewe hazisumbui usomaji wa katiba?

Hehehehe. Hata hiyo amri ya kurara urengwe mpaka ujilaze hapo mwenzio kama hajakoroma basi kakumbuka kitu. Huyoooo home office! Kha!

Ndo maana nyumba ndogo za kizaramo zina soko balaa.
 
Tunapotea.......
Tupotee mara ngapi mkuu, cha kufanya ni kumuomba Mungu atutoe kwenye hili janga tu.

Nchi imemezwa na mambo ya ajabu ajabu, juzi kati amefariki Dokta bingwa wa magonjwa ya moyo His Excellence Dk. Massau aliyepigana usiku na mchana kuokoa maisha ya watanzania walio wengi enzi za uhai wake, lakini inasikitisha kuona hata media hazikucover msiba wake kiasi alichopewa muimba "mitungi mikasi".
 
mie napenda asivae chochote, ili nitaka fasta fasta kusiwe na unnecessary delays.
 
Kweli kuna watu hawako seriously na maisha haya.
But anyway hatuko sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom