Hadi watu wa njano wapoHivi kuna mtu mweupe Sijawahi kumuona, unahifahamu rangi nyeupe lakini
Weupe kama theluji?Hadi watu wa njano wapo
Hii rangi nyeusi siyo rangi asili ya binadamu.
Namuangalia mkuu King Kong III,naangalia na rangi yake,nagundua kweli mna utani na watu...
Olenon'gotoWajaluo wajitahidi kupunguza weupe,Wajaluo ni weupe sana wajameni.
Kitabu ganiBIBLIA:
Mimi ni mweusi-mweusi, lakini ninao uzuri, Enyi binti za Yerusalemu, Mfano wa hema za Kedari, Kama mapazia yake Sulemani.
6 Msinichunguze kwa kuwa ni mweusi-mweusi, Kwa sababu jua limeniunguza. Wana wa mamangu walinikasirikia, Waliniweka niwe mlinzi wa mashamba ya mizabibu; Bali shamba langu mwenyewe sikulilinda.
Kisayansi binadamu wa kwanza au niseme ancestor wetu aliishi kwenye misitu ya Afrika mashariki na alikuwa mweupe.Ivi kweli rangi asilia ya binadamu Ni nyeupe?au rangi za watu zilikua zinabadilika kutoka sehemu za afrika kwenda ulaya na mashariki ya mbali ambapo mazingira yalikua Ni tofauti?na je binadamu wakwanza katika historia ya kisayansi au kidini aliishi bara lipi na alikua na rangi ipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kifungu hiki kinapatikana wapi? Inaonesha jinsi gani rangi nyeusi inavyodhalilishwa, tangu enzi na enzi!BIBLIA:
Mimi ni mweusi-mweusi, lakini ninao uzuri, Enyi binti za Yerusalemu, Mfano wa hema za Kedari, Kama mapazia yake Sulemani.
6 Msinichunguze kwa kuwa ni mweusi-mweusi, Kwa sababu jua limeniunguza. Wana wa mamangu walinikasirikia, Waliniweka niwe mlinzi wa mashamba ya mizabibu; Bali shamba langu mwenyewe sikulilinda.
Kama ni melanini ndio imezalishwa basi watoto wangekuwa wanazaliwa weupe kama wazungu kisha jua linazalisha melanini na kuwa black,cha kushangaza wazungu wakija Afrika hata wakikaa miaka mia wanakuwa na rangi yao ya uzungu ile ile....Kinachobadilika ni kufubaa au kung'aa kwa ngozi.