Ericus Kimasha
JF-Expert Member
- Oct 27, 2006
- 488
- 470
Tembelea uzi ufuatao utapata majibu Rangi za Bendera ya CDM ambayo yalitolewa hapa JF toka 11th March 2012, miezi mitano kabla hujawa Mwana-JF!Habari jamani, napenda kuuliza zile rangi kwenye scaf na bendera ya CHADEMA kila moja zina maana gani?