Rangi Nyekundu kwenye bendera ya CHADEMA ina maana gani?

jamani watu tupo serius kwanini bendera ya chadema ina rangi nyekundu?
rangi ile inamaabisha nini?

hiyo ni rangi ya upendo, chama kinasistiza upendo baina ya wanainchi na uzalendo kwa inchi yao pamoja na ku2nza raslimali za inchi kama tembo
 
Wakuu naombeni kuelimishwa kwa nini cdm bendera yao ina rangi nyekundu wakati hawana historia yoyote kuhusu ukombozi wa bara letu la Afrika?
 
Ukombozi a.k.a Mabadiliko si lazima iwe kumng'oa mkoloni tu(mzungu) bali hata fisadi ndani ya taifa lake aliyetayari hata kumwaga damu ili iwe tishio na kuendelea kubaki madarakani.Refer Kwa marehemu Daudi Mwangosi na wapigania haki wengine waliotutangulia.

Labda, walioamua kuiweka rangi nyekundu walijuaje kama machafuko yatatokea? Yalishatabiriwa ingawa si Kwa kiasi kikubwa.

Ni fikra zangu tu
 
Mkuu nilikuwa mwanachadema mwanzo kabla hawajampokea hili fisadi na maanayake naifahama nakuambia apa chini.

Nyekundu;- Ni upendo (Love) - wakimaanisha wanachama wa chadema wawe na upendo.

Nyeupe:- Transparent (Uwazi) kuwa watakuwa wawazi katika kufanya mambo yao japo wakati wanampokea Lowassa hatukujua nn kikiendelea.

Nyeusi:- Ni asili ya watanzania nafikiri nimekujibu vizuri.

Kwasasa sina chama baada ya kupishana maono yangu katika chama changu nikichokipenda na wengine
 
Wakuu naombeni kuelimishwa kwa nini cdm bendera yao ina rangi nyekundu wakati hawana historia yoyote kuhusu ukombozi wa bara letu la Afrika?

Nchi karibu zote zilizoendelea bendera zao rangi nyekundu himo.
Damu ni uhai.
 
Ukombozi a.k.a Mabadiliko si lazima iwe kumng'oa mkoloni tu(mzungu) bali hata fisadi ndani ya taifa lake aliyetayari hata kumwaga damu ili iwe tishio na kuendelea kubaki madarakani.Refer Kwa marehemu Daudi Mwangosi na wapigania haki wengine waliotutangulia.

Labda, walioamua kuiweka rangi nyekundu walijuaje kama machafuko yatatokea? Yalishatabiriwa ingawa si Kwa kiasi kikubwa.

Ni fikra zangu tu

achen ujinga mnapambana na ufisad gan? embu anzen na huyo fisad (rchmonduli) wenu kabla ya kuongelea escrow na ufisad mwengine
 
Back
Top Bottom