Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,230
Wewe bure kabisa!Zilibadilishwa kutoka zile za zamani ambazo hazikuwa na affliation na dini mpaka za hivi sasa baada ya kufunga agano na kanisa. Nenda parokiani utajulishwa kwa undani!

Hata CUF wako affiliated na kanisa, kwani rangi ya bendera ya CUF ni zile zile za bendera ya CHADEMAZilibadilishwa kutoka zile za zamani ambazo hazikuwa na affliation na dini mpaka za hivi sasa baada ya kufunga agano na kanisa. Nenda parokiani utajulishwa kwa undani!
zilibadilishwa kutoka zile za zamani ambazo hazikuwa na affliation na dini mpaka za hivi sasa baada ya kufunga agano na kanisa. Nenda parokiani utajulishwa kwa undani!
wewe ulivyozaliwa mweusi, kulikuwa na maana yoyote kwa kuzaliwa na rangi nyeusi ya ngozi yako?
naomba mnijuze rangi za Bendera ya CHADEMA zina maana gani ???
BENDERA MPYA YA CHADEMA
Muundo wa Bendera
NYEUSI Rangi hii inawakilisha WATU WA TANZANIA. Hii ni rangi ya wazawa asili wa nchi yetu. Ni rangi ambayo inabeba pia falsafa ya NGUVU YA UMMA. BLUU ISIYOKOZA (LIGHT BLUE) Hii ni rangi ya asili ya CHADEMA. Ni rangi ambayo inawasilisha HAKI. Lakini pia rangi hiyo inawakilisha BAHARI kama ishara ya maliasili/raslimaji na Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar. NYEUPE Rangi nyeupe inawasilisha UKWELI, UWAZI na AMANI. Huu ni msingi muhimu wa CHADEMA. CHADEMA ni chama ambacho kitasimamia uadilifu kwa njia ya demokrasia. NYEKUNDU Rangi nyekundu inawakilisha MASHUJAA. CHADEMA inathamini historia ya nchi yetu ambayo inawasilisha kumbukumbu ya mashujaa waliotupitisha katika michakato ya mbalimbali ya demokrasia na maendeleo ikiwemo harakati za kuondoa ukoloni. Rangi hii ni chimbuko la uzalendo wetu. |
BENDERA MPYA YA CHADEMA
Muundo wa Bendera
Rangi za Bendera
- Bendera ya CHADEMA ina rangi nne: Nyeusi, Bluu isiyokoza (light blue), nyeupe na nyekundu.
- Bendera ya CHADEMA ina nembo ya kiganya cha mkono kilichonyoosha vidole viwili katika mfumo wa V kama ishara ya USHINDI. CHADEMA ni chama kinacholenga kushinda kidemokrasia na hatimaye kuleta ushindi wa maendeleo ya taifa.
- Rangi ya BLUU ISIYOKOZA iko juu ya rangi NYEKUNDU kama ishara kwamba kama taifa tumevushwa na mashujaa kuelekea katika jamii yenye haki, na wakati wote CHADEMA imevuka hatua kama chama cha siasa na sasa inasimamia haki.
- Rangi nyeupe iko mbele ya rangi zote kama ishara kwamba chama kinatanguliza UKWELI NA UWAZI katika nyanja zote. Pia rangi nyeupi imebeba nembo ya chama kwa kuwa UKWELI NA UWAZI ni misingi muhimu sana kwa chama. Nembo ya chama iko mbele kama kama ishara ya CHADEMA kuwa chama kiongozi katika kuchochea misingi muhimu katika kuleta mabadiliko na maendeleo katika Taifa.
- Rangi zingine zinatenganishwa na ufito mweusi ambao unaumbo la "T" ikiwasilisha kifupi cha jina la taifa la Tanzania.
NYEUSI
Rangi hii inawakilisha WATU WA TANZANIA. Hii ni rangi ya wazawa asili wa nchi yetu. Ni rangi ambayo inabeba pia falsafa ya NGUVU YA UMMA.
BLUU ISIYOKOZA (LIGHT BLUE)
Hii ni rangi ya asili ya CHADEMA. Ni rangi ambayo inawasilisha HAKI. Lakini pia rangi hiyo inawakilisha BAHARI kama ishara ya maliasili/raslimaji na Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar.
NYEUPE
Rangi nyeupe inawasilisha UKWELI, UWAZI na AMANI. Huu ni msingi muhimu wa CHADEMA. CHADEMA ni chama ambacho kitasimamia uadilifu kwa njia ya demokrasia.
NYEKUNDU
Rangi nyekundu inawakilisha MASHUJAA. CHADEMA inathamini historia ya nchi yetu ambayo inawasilisha kumbukumbu ya mashujaa waliotupitisha katika michakato ya mbalimbali ya demokrasia na maendeleo ikiwemo harakati za kuondoa ukoloni. Rangi hii ni chimbuko la uzalendo wetu.
Zilibadilishwa kutoka zile za zamani ambazo hazikuwa na affliation na dini mpaka za hivi sasa baada ya kufunga agano na kanisa. Nenda parokiani utajulishwa kwa undani!
Wewe ulivyozaliwa mweusi, kulikuwa na maana yoyote kwa kuzaliwa na rangi nyeusi ya ngozi yako?
BENDERA MPYA YA CHADEMA
Muundo wa Bendera
Rangi za Bendera
- Bendera ya CHADEMA ina rangi nne: Nyeusi, Bluu isiyokoza (light blue), nyeupe na nyekundu.
- Bendera ya CHADEMA ina nembo ya kiganya cha mkono kilichonyoosha vidole viwili katika mfumo wa V kama ishara ya USHINDI. CHADEMA ni chama kinacholenga kushinda kidemokrasia na hatimaye kuleta ushindi wa maendeleo ya taifa.
- Rangi ya BLUU ISIYOKOZA iko juu ya rangi NYEKUNDU kama ishara kwamba kama taifa tumevushwa na mashujaa kuelekea katika jamii yenye haki, na wakati wote CHADEMA imevuka hatua kama chama cha siasa na sasa inasimamia haki.
- Rangi nyeupe iko mbele ya rangi zote kama ishara kwamba chama kinatanguliza UKWELI NA UWAZI katika nyanja zote. Pia rangi nyeupi imebeba nembo ya chama kwa kuwa UKWELI NA UWAZI ni misingi muhimu sana kwa chama. Nembo ya chama iko mbele kama kama ishara ya CHADEMA kuwa chama kiongozi katika kuchochea misingi muhimu katika kuleta mabadiliko na maendeleo katika Taifa.
- Rangi zingine zinatenganishwa na ufito mweusi ambao unaumbo la T ikiwasilisha kifupi cha jina la taifa la Tanzania.
NYEUSI
Rangi hii inawakilisha WATU WA TANZANIA. Hii ni rangi ya wazawa asili wa nchi yetu. Ni rangi ambayo inabeba pia falsafa ya NGUVU YA UMMA.
BLUU ISIYOKOZA (LIGHT BLUE)
Hii ni rangi ya asili ya CHADEMA. Ni rangi ambayo inawasilisha HAKI. Lakini pia rangi hiyo inawakilisha BAHARI kama ishara ya maliasili/raslimaji na Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar.
NYEUPE
Rangi nyeupe inawasilisha UKWELI, UWAZI na AMANI. Huu ni msingi muhimu wa CHADEMA. CHADEMA ni chama ambacho kitasimamia uadilifu kwa njia ya demokrasia.
NYEKUNDU
Rangi nyekundu inawakilisha MASHUJAA. CHADEMA inathamini historia ya nchi yetu ambayo inawasilisha kumbukumbu ya mashujaa waliotupitisha katika michakato ya mbalimbali ya demokrasia na maendeleo ikiwemo harakati za kuondoa ukoloni. Rangi hii ni chimbuko la uzalendo wetu.
Mi naikubali sana Chadema lakini hapo Kwenye Rangi NYEKUNDU hapo mi sidhani kama ni sababu ya Msingi