Range Rover 2022 itakuwa na viti vinne, tano na saba!

Katika Range nilizoendesha ni Autobiography kwa kweli hiyo ni Luxury tupu na vingi vimo kama heated steering, heated seats, cool box, heated windshields
Ila imetulia barabarani na ni zito

Autobiographies ni heshima kuiendesha kwa kweli
Hata Jaguar autobiography nayo ni balaa niliendesha toka Cardiff mpaka Oxford viti vyake vina body massage ya uhakika unaweza kulala
 
Back
Top Bottom