Ramli ya Edo Kumwembe

Hadrianus

JF-Expert Member
Feb 19, 2020
2,112
5,208
Aliandika kua yeye anazifahamu Simba na Yanga kwa zaidi ya miongo kadhaa, akajisahau kwamba mambo yanabadilika.
IMG_20210106_151503_405.jpg
 
Alijua bado Simba inaendeshwa kimihemko kama zamani, sven hataki kuingiliwa kwenye maamuzi yake, ingekuwa ni makocha wasiokuwa na msimamo ni kweli Jana tungeshuudia mkude akicheza dhidi ya platnum, ila sven hataki kuyumbishwa kwenye majukumu yake, utajua hili ata kupitia interview zake na vyombo vya habari, jamaa yupo too professional
 
Back
Top Bottom