RAMANI ZA NYUMBA, MAKADIRIO YA UJENZI PAMOJA NA UJENZI WA NYUMBA

JM construction company

JM construction company

Member
Joined
Nov 2, 2018
Messages
14
Points
45
JM construction company

JM construction company

Member
Joined Nov 2, 2018
14 45
Tunatoa huduma za uchoraji wa ramani za kisasa za nyumba pamoja na ujenzi wa nyumba. Pia tunahusika katika suala la ufuatiliaji wa kibali cha ujenzi.

Company: JM CONSTRUCTION COMPANY
Location: Dar es salaam/ Ubungo external
Contact: 0746681421 or 0657 855 955
 
mulwanaka

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
2,806
Points
2,000
mulwanaka

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
2,806 2,000
JM construction company

JM construction company

Member
Joined
Nov 2, 2018
Messages
14
Points
45
JM construction company

JM construction company

Member
Joined Nov 2, 2018
14 45
Hilo ndo Tatizo la watanzania tuna 'poor marketing strategy' badala ya kutuonyesha site unazo jenga pamoja na machinery zako za ujezi, una download finished house mtandaoni.......duh kweli wa Tanzania bado sana katika biashara
Hili ndilo tatizo la watanzania wengi, unafanya kazi wanakuambia ume download, hawawezi wakathamini kazi yako, wanajua kazi nzur niza kudownload.. Tukiwa na fikra kama hizi sidhani kama tutafika popote...

Moja ya kazi tulizo ainisha hapo juu ni kuchora ramani, hizo picha unazo ona hapo juu ni ramani za nyumba zikiwa katika 3D... Tubadilike
Kwa huduma nzur kama hizi wasiliana nasi..
..... YOUR DREAM WE DELIVER.....
 
serio

serio

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Messages
6,713
Points
2,000
serio

serio

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2011
6,713 2,000
Hilo ndo Tatizo la watanzania tuna 'poor marketing strategy' badala ya kutuonyesha site unazo jenga pamoja na machinery zako za ujezi, una download finished house mtandaoni.......duh kweli wa Tanzania bado sana katika biashara
acha kumshusha viwango basi.... hizo render kafanya mwenyewe,, hata kama quality sio nzuri... kama una kazi mpe..
 

Forum statistics

Threads 1,313,882
Members 504,678
Posts 31,807,180
Top