Ramani ya nyumba ya kupangisha

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Messages
888
Points
250

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2014
888 250
Habar zenu wakuu

Naomba msaada wenu.. Naitaji ramani nijenge nyumba ya kupangisha.. Naitaji vyumba vyote viwe na vyoo vya kujitegemea.
 
Joined
Dec 20, 2017
Messages
34
Points
125
Joined Dec 20, 2017
34 125
Nyumba 2BHK ya kupangisha ya inayovutia na kutumia vifaa vichacheKwa yule anayetaka kumiliki nyumba kwajili ya kupangisha
Ambayo
Atatumia VIFAA VICHACHE ZAIDI kujenga
Na
Pia ITAMLIPA KWA HARAKA (return of investment)
Lkn
Pia ambayo wateja
Wataipendelea zaidi kupanga.

Basi
*RAMANI HII YA NYUMBA* inafaa sana na imeandaliwa kitaalamu kwa mazingira na tamaduni za Tanzania
Kuhakikisha
Kuwa
Inakufaa zaidi ktk biashara yako


- inatumia eneo dogo la kiwanja
- ina urahisi wa kujenga
mafundi hawatakuchaji bei kubwa maana ipo style simple
- imeandaliwa kitaalamu kutumia vifaa vichache (bati, tofali…)
- imeandaliwa ili iwe gharama nafuu kujenga
- tumeepuka vitu vyenye kukuongezea gharama ktk ujenzi kama nguzo na veranda za zege, kona kona ktk nyumba na bati, makabati ya kujengea, urembo ktk madirisha & nguzo, msingi mrefu sana, nakshi za rangi ngumu, dead spaces ktk nyumba, kupunguza idadi ya kuta na madirisha na milango...
- inavutia sana na inavuta wateja
- wapangaji wako watakuwa na nafasi ya kutosha ndani
- vyumba vikubwa kutosha kitanda na kabati
- kila mpangaji anapata faragha nzuri nyumbani kwake bila kuingiliana na mwingine
- mpangilio wa vyumba ndani ni wa kisasa
- shape na mpangilio wake upo simple sana ili iwe nafuu kujenga na gharama nafuuu za fundi
- staili yake ipo simple na nzuri ili isichukue gharama kubwa ya fundi na vifaa
- waweza jenga kwa awamu (jenga kijumba kimoja kimoja) kwanza kisha pango la mpangaji wa kwanza unatumia kujenga vijumba vinavyofuata
- staili yake haitumia bati nyingi
imeandaliwa ktk staili ambayo fundi hatakata kata vipande vya bati
- wapangaji wana-share mashimo ya choo hivyo utaokoa sana gharama za kuyajenga
- nyumba zina-share kuta na msingi hivyo utapunguza idadi ya bati, tofali, cement...na gharama ufundi kwa sana+255-657-675-268 WhatsApp


Kuzipata
Screenshot_20190604-132339.jpeg
Screenshot_20190604-130953.jpeg
Screenshot_20190604-131004.jpeg
whatsapp%20banner%20prof.jpeg
 

Forum statistics

Threads 1,365,648
Members 521,269
Posts 33,351,601
Top