Ramani ya dunia inadanganya kuhusu ukubwa halisi wa nchi

hii imekaa poa sana.
authagraph.png
 
1. Maji ya mto yanatiririka kwa kufuata "elevation", maana yake, urefu wa sehemu kutoka usawa wa bahari. Kutoka juu, kwenda chini.

2.Maji hayajali hizo habari za East, West, North and South, hizo zimetungwa na watu tu.

3. Habari ya Misri kuwa juu ya Tanzania katika ramani ni convention tu,unaweza kuchora ramani ambayo Tanzania ipo juu ya Misri na bado ikawa accurate.

Wati washaongelea hili hapa --> Five maps that will change how you see the world

image-20170322-31217-3p4bxk.jpg


North is up, right? Only by convention. There’s no scientific reason why north is any more up than south. Equally, we could do east-up, west-up or any other compass bearing. Purposefully reversing the typical way world maps are drawn has a similar political effect to using the Peters projection, putting more developing countries in the generally poorer southern hemisphere at the top of the map and so giving them greater significance.
Ahsante kwa hiyo link nimeielewa, kumbe bado nina mengi ya kujifunza.
 
Mkuu mbona hii rahisi tu, angalia distance ya Misri above sea level,
The altitude of Egypt ranges from 133 m (436 ft) below sea level in the Libyan Desert to 2,629 m (8,625 ft) above in the Sinai Peninsula. The Nile Delta is a broad, alluvial land, sloping to the sea for some 160 km (100 mi), with a 250-km (155-mi) maritime front between Alexandria (Al-Iskandariyah) and Port Sa'id. South of Cairo, most of the country (known as Upper Egypt) is a tableland rising to some 460 m (1,500 ft). The narrow valley of the Nile is enclosed by cliffs as high as 550 m (1,800 ft) as the river flows about 900 km (560 mi) from Aswan to Cairo. A series of cascades and rapids at Aswan, known as the First Cataract (the other cataracts are in the Sudan), forms a barrier to movement upstream.
Read more: Topography - Egypt - annual
Tanzania, The country is the site of Africa's highest and lowest points: Mount Kilimanjaro, at 5,895 metres (19,341 ft) above sea level, and the floor of Lake Tanganyika, at 352 metres (1,155 ft) below sea level, respectively.
Tupo pamoja nimekuelewa chief
 
Nakubaliana na wewe kwa hilo, kuna makala moja nilibahatika kuiangalia inaelezea kuhusu ukubwa halisi wa Mabara na nchi. Uliyoyaandika ndiyo waliyoyasema tena kuna mengi zaidi ya uliyoyaandika. Mathalani Misri ukiitizama kiramani inaonekana ipo juu kwa kuitwa kaskazini na Tanzania ipo mashariki mwa Afrika. Ki ramani ukiitizama na kimuundo wa tufe la mfano wa Dunia Misri ipo juu na Tanzania ipo chini ya Misri. Fuatilia mto Nile ambao chanzo chake ni ziwa Victoria na maporomoko yake makubwa yapo Ethiopia na mto Nile hufika mpaka Misri.

Tafsiri nyepesi inayokuja hapa ni chanzo cha mto Nile ni ziwa Victoria na hutirirsha maji mpaka Misri. Swali la kujiuliza Misri ni kaskazini(juu), ziwa Victoria lipo mashariki mwa afrika,kiramani na tufe la mfano wa Dunia ipo chini ya Misri. Sasa inakuaje maji yanatirirka kutoka chini kuelekea juu? Au kusini ndiyo juu na kaskazini ndiyo chini? Binafsi sifahamu anayejua anaweza akatufahamisha katika hili.
hapa umenipa maswali zaidi kichwani aisee!!!
 
Back
Top Bottom