Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,889
Ramani nyingi tunazotumia sasa zinatokana na Ramani ya Mercator. Huyu mercator alikuwa ni mtaalamu wa Ramani. Alitengeneza Ramani yake miaka ya 1500. Alichukua point kutoka kwenye tufe la dunia na kuzihamishia kwenye karatasi flat.
Ramani yake ilikuwa nzuri sababu haikubadilisha maumbo ya nchi na ilikuwa reliable sana kwa usafiri wa majini sababu ilionyesha uelekeo halisi. Tatizo ya hii Ramani ni kuwa ilionyesha nchi ambazo zipo karibu na ikweta kuwa ndogo ilhali nchi zilizo kaskazini na kusini kuwa kubwa. Kwenye ramani hiyo kisiwa cha Greenland kinaonekana kikubwa sawa na Africa wakati kihalisi Africa ni kubwa karibu mara 15 ya kisiwa hicho.
Hili no muhimu sababu watu kutoka nchi ndogo hujihisi inferior na insignificant. sasa watu wakizoea kuona Africa na nchi zake kama visehemu vidogo huongeza dharau kwa bara na nchi zetu.
Kuna raman ya gall peter ambayo huonyesha ukubwa halisi wa nchi.