state agent
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 1,764
- 2,511
Nani anabisha kuwa haifiki chato ,hivi macho yenu yanaona sawasawa
Fakeni!! Kama ipo Chato kwanini iitwe burigi chato? Kwa hizi akili baki chato mjini hata barabara huvuki
Yani hakuna hata ujirani!
Nani anabisha kuwa haifiki chato ,hivi macho yenu yanaona sawasawaView attachment 1151544
Kasenga na katete ni eneo la chato ambalo mbuga imefika. Na ujue Chato imekuwa ni sehemu ya Wilaya ya Biharamulo mkoa wa kagera. Hivyo jina laweza badilika lakini eneo linabaki palepale.
Msishangae baada ya kukolea umabutu akaagiza jina libadilishwe tena na kuwa Yohana Mitungi Solex National Park.Bugiri chato ni jina FAKE lililotungwa na nduli wa Ikulu.