Ramani ushahidi: Mbuga ya Burigi ipo pia Chato

Hivi unaongelea chato kama kijiji au wilaya? Ukitoka bmlo, chato ina mpaka wake Rukilirwengoma hata kabla ya mlima wa Nyankanga na Kataga. Hilo lote ni eneo la hifadhi mpaka katete. Ajabu chato mnaichukua kama kidoti ndani ya ziwa. Kutoka Nyankanga mpaka chato ni zaidi ya Km 40 hilo lote ni eneo la wilaya ya chato.

Zamani pori la burigi lenye mapori matatu kwa muunganiko;
  • Burigi
  • Kimisi
  • Biharamulo
lilipakana na wilaya 4: Biharamulo, Muleba, Ngara na Karagwe, chato ikiwa ndani ya Biharamulo. Kwasasa linapakana na wilaya 5: Biharamulo, Chato, Muleba, Karagwe na Ngara.
Lingeitwa Burigi -Kimisi
 
Kwa mabishano ya haya


Ningependezwa sana kuona panaitwa

Magufuli National Park

Ingefaa sana sanaaaa..
 
Umekuja vizuri sana... Sasa ni kipi kilisababisha jina likawa Chato badala ya Biharamulo au hata Rukilirwengoma au hata Nyankanga au hata Kimisi au hata Kataga au hata Geita..??
Unaweza ukatupa jibu la kuturidhisha..??
Bahata mbaya huwa siandiki kuridhisha watu, hivyo siko tayari.
 
Umekuja vizuri sana... Sasa ni kipi kilisababisha jina likawa Chato badala ya Biharamulo au hata Rukilirwengoma au hata Nyankanga au hata Kimisi au hata Kataga au hata Geita..??
Unaweza ukatupa jibu la kuturidhisha..??
What is in the name?????
 
I know that you also know that the name carries weight!
Always; remember that the devil lay in the details!
So when you guys call his excellency myriad of uncalled for nick names, does it really change JPM's personality???
 
Kasenga na katete ni eneo la chato ambalo mbuga imefika. Na ujue Chato imekuwa ni sehemu ya Wilaya ya Biharamulo mkoa wa kagera. Hivyo jina laweza badilika lakini eneo linabaki palepale.

Kwa watu Ambao hawajawahi kufika na kufanya kazi Chato na kata zake Kasenga mpaka kata ya Bongera ni maeneo Ambayo yanapakana na pori la Burigi NADHANI NI UAMUZI WA BUSARA KUANZISHWA KWA HIFADHI HIYO MAANA PALIKUWA NA UHARIBIFU MKUBWA WA MAZINGIRA na hata majangili na wachungi Ambao ni wahalifu walilitumia kama eneo la kujifichia hapo.
 
So when you guys call his excellency myriad of uncalled for nick names, does it really change JPM's personality???

I do not precisely know what you guys are up to..
But definitely, it's not for a good cause!
You can not actively be there and yet close your eyes to something so unhealthy, something so detrimental to the sustainability and the unity of our nation; something as worse as divisive and nepotism politics..!
 
Back
Top Bottom